Dar: Kivuko Kipya cha MV KAZI chazinduliwa, Kimeundwa Tanzania!!

Watu wengine bhana hufurahi wenzao wakipata shida, ukifuatilia michango ya baadhi ya watoa maada, utaona namna gani watu wa mlengo wa kupinga kila kilicho chema huchangia hoja zao, serkali yetu Ina nia thabiti ya kuijenga nchi hii kikamilifu, wacha kuleta mbeembee zenu humu. JPM jembe mtu.
 
Acheni dharau hao wazungu wenyewe gari likikamilika linakuwa na brand name ya nchi husika wakati parts zinaundwa nchi tofautitofauti...Mchina juzi kazindua ndege kubwa ya abiria injini kaagiza Ulaya....Rolls Royce body parts zinaundwa sehemu tofauti na injini yet ni brand ya Uingereza...Hapa kwetu mzawa Gallery - SONGORO MARINE TRANSPORT LTD. BOATYARD anaunda meli,boti,vivuko vya kila sample hata meli kule nyasa imeundwa hapahapa home...tatizo hatuna appreciation kwa sababu tuzijuazo hebu tuthamini kilichoundwa nyumbani,hatushindwi na tusijidharau...Hicho kinakuwa branded made in Tanzania,proudly Tanzanian.

mkuu umedanganya rolls toyce inatengenezwa marekani sio ulaya
 
kimetengenezwa na watanzania au kimeunganishwa na watanzania...???..

kutengeneza = design+manufacturing+assembling+testing+commissioning.
kuunganisha = assembling+testing +commissioning.

kuunganisha kwa engineer yeyote mwenye uzoefu kwenye kazi husika sio tatizo na ukizingatia michoro ipo ni kama kuunganisha makabati ya kichina tu...
Kwa inashindikana nini, kanuni ya uhandisi ni moja dunia nzima.
 
Chako wewe kukowapi ilicho unganisha au kuchora ??
 
In that case hakuna kinachotengenezwa hapa duniani, vyote huunganishwa. Maana hata Boeing hununua engine toka rolls royce, electronics toka samsung, matairi toka good year.., nk. Ila kwasababu bichwa lako lina mentality ya utumwa utumwa, ukiambiwa ni made in tz huamini yaan.., akili yako inagoma kabisa.., mbuzi wewe

kitu chochote unachokiona duniani na kinatokana na uundaji huanzia kwenye DESIGN..
DESIGN huanzia kwenye concept, ndio mwishowe tunaishia kwenye prototype ambayo hutestiwa na ikileta majibu chanya kazi huanza..
Design kwa maana ya calculation na assumption zote ndio michoro hutengenezwa na kuzaa kila specification itakayotumika kwenye kitu husika, kuanzia main assembly to sub assembyly/ attachments.. Designer mwisho wa siku ndio mwenye hati miliki ya kilichotengenezwa..

Boeng ndio mwenye hati miliki ya ndege za Boeng ingawa kuna attachments kama engines, tyre nk kutoka kwa manufacture mwingine na hiyo tunaita outsourcing, GE anaposupply Engine kwa Boeng huwa anadesign engine na kujenga kulingana na specification za Boeng, vitu kama speed, size, load factor, fuel type, fuel consumption, weight of the engine its specified by Boeng, na kama kuna addition yeyote au swali Lazima GE awasiliane na maengineer wa Boeng.

Brake system design, main structure design, hydraulic system design, electrical and electronics design na routes zote, safety system design, nk hizo zote ni kazi za Boeng engineers na attachments zote ambazo zitakuwa outsourced zitakuwa as per Boeng engineers specification..

Kabati la kichina unapolinunua wewe unakuwa muunganishaji tu maana hakuna unachojua kuhusu design ya hilo kabati, Ila mtengenezaji wa hilo kabati atakuwa mchina aliyekuwa na concept akadesign, akachora then akaassemble no matter screw amenunua sehemu nyingine..

Kivuko unaweza ukanunua ulaya, ukaletewa vipande na michoro, wewe ukaviunga na mwisho wasiku kikafanya kazi..
Hicho Kivuko tutasema wao ni watengenezaji kama wamedesign, wakafanya calculation zote wenyewe, wakachora na kuwa na specification zote kuanzia mainbody mpaka kwenye propeller no matter engine sio yao tofauti na hapo kitakuwa manufactured somewhere but assembled tanzania..
 
Chako wewe kukowapi ilicho unganisha au kuchora ??

Mkuu hili ni jukwaa huru, sio sehemu ya kusutana, tunajadili maada kulingana na mtazamo wa kila mtu. Mtoa maada ameleta habari ya kivuko kilichotengenezwa Tanzania, nimesikiliza maelezo ya Waziri sikupata ufanunuzi wa kutosha. Nikiwa member wa jukwaa huru nikauliza kimeunganishwa tanzania au kimetengenezwa Tanzania? kama unamaelezo yanayothibitisha kama kimetengenezwa Tanzania ni vizuri ukayaweka kwa faida ya wengi na pia nikatoa tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..

Changia ukiwa na mawazo huru, lengo ni kupanuana mawazo ili tujenge na twende mbele...
 
Kwa inashindikana nini, kanuni ya uhandisi ni moja dunia nzima.

Hakuna kinachoshindikana kama utazingatia kanuni na taratibu za fani husika, sina nia mbaya ila nimehoji kama kimeunganishwa Tanzania au kutengenezwa Tanzania? na nikatoa tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..
 
Naamini kimetengenezwa hapa mkuu kuna jamaa anaitwa songolo marine huyu bwana afai ametengeneza vivuko vingi tu hapa nchini na vinapiga kazi vizuri tu pongezi kwake
Huyo Songoro anaunganisha tu..kwa sasa ana mradi wa kuunganisha meli ziwa Nyasa
 
Acheni dharau hao wazungu wenyewe gari likikamilika linakuwa na brand name ya nchi husika wakati parts zinaundwa nchi tofautitofauti...Mchina juzi kazindua ndege kubwa ya abiria injini kaagiza Ulaya....Rolls Royce body parts zinaundwa sehemu tofauti na injini yet ni brand ya Uingereza...Hapa kwetu mzawa Gallery - SONGORO MARINE TRANSPORT LTD. BOATYARD anaunda meli,boti,vivuko vya kila sample hata meli kule nyasa imeundwa hapahapa home...tatizo hatuna appreciation kwa sababu tuzijuazo hebu tuthamini kilichoundwa nyumbani,hatushindwi na tusijidharau...Hicho kinakuwa branded made in Tanzania,proudly Tanzanian.
Mkuu unakosea...hatukatai kufanya outsourcing kwa baadhi ya parts, hivi unaweza ukasema huyo Songoro ni parts zipi anazitengeneza mwenyewe?
Kwa jinsi ya meli zilivyo, lazima zije ziunganishiwe hapa hapa..hili lipo miaka na miaka kwenye inland bodies!!
 
kimetengenezwa na watanzania au kimeunganishwa na watanzania...???..

kutengeneza = design+manufacturing+assembling+testing+commissioning.
kuunganisha = assembling+testing +commissioning.

kuunganisha kwa engineer yeyote mwenye uzoefu kwenye kazi husika sio tatizo na ukizingatia michoro ipo ni kama kuunganisha makabati ya kichina tu...
So what
 
ni wakati wa kushindana kwa hoja, na sio kusutana.

Lengo ni kujadili na kufikia muafaka na sio kusutana, kama unamaelezo yanayoonyesha kivuko kimetengenezwa Tanzania ni vizuri ukaweka mezani wote tukaelewa, hapo nimejaribu kuweka tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..naomba tusaidiane mawazo na kushare uzoefu..
 
Hiki kimeanza kutengenezwa tangia enzi za jk hela ya kukimalizia ccm wakaipiga wakaitumia kwenye kampeni.. Naona magu kaja kukimalizia
 
kitu chochote unachokiona duniani na kinatokana na uundaji huanzia kwenye DESIGN..
DESIGN huanzia kwenye concept, ndio mwishowe tunaishia kwenye prototype ambayo hutestiwa na ikileta majibu chanya kazi huanza..
Design kwa maana ya calculation na assumption zote ndio michoro hutengenezwa na kuzaa kila specification itakayotumika kwenye kitu husika, kuanzia main assembly to sub assembyly/ attachments.. Designer mwisho wa siku ndio mwenye hati miliki ya kilichotengenezwa..

Boeng ndio mwenye hati miliki ya ndege za Boeng ingawa kuna attachments kama engines, tyre nk kutoka kwa manufacture mwingine na hiyo tunaita outsourcing, GE anaposupply Engine kwa Boeng huwa anadesign engine na kujenga kulingana na specification za Boeng, vitu kama speed, size, load factor, fuel type, fuel consumption, weight of the engine its specified by Boeng, na kama kuna addition yeyote au swali Lazima GE awasiliane na maengineer wa Boeng.

Brake system design, main structure design, hydraulic system design, electrical and electronics design na routes zote, safety system design, nk hizo zote ni kazi za Boeng engineers na attachments zote ambazo zitakuwa outsourced zitakuwa as per Boeng engineers specification..

Kabati la kichina unapolinunua wewe unakuwa muunganishaji tu maana hakuna unachojua kuhusu design ya hilo kabati, Ila mtengenezaji wa hilo kabati atakuwa mchina aliyekuwa na concept akadesign, akachora then akaassemble no matter screw amenunua sehemu nyingine..

Kivuko unaweza ukanunua ulaya, ukaletewa vipande na michoro, wewe ukaviunga na mwisho wasiku kikafanya kazi..
Hicho Kivuko tutasema wao ni watengenezaji kama wamedesign, wakafanya calculation zote wenyewe, wakachora na kuwa na specification zote kuanzia mainbody mpaka kwenye propeller no matter engine sio yao tofauti na hapo kitakuwa manufactured somewhere but assembled tanzania..
Kwahiyo ni nani aliekuambia kwamba Songoro hajadesign hicho kivuko na kutoa specification za engine na vitu vingine?
 
Hakuna kinachoshindikana kama utazingatia kanuni na taratibu za fani husika, sina nia mbaya ila nimehoji kama kimeunganishwa Tanzania au kutengenezwa Tanzania? na nikatoa tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..
Hapo kutengenezwa na kuunganisha kuna tofauti gani? An Ending result ni nini?
 
Back
Top Bottom