Dar: Kivuko Kipya cha MV KAZI chazinduliwa, Kimeundwa Tanzania!!

Hapo kutengenezwa na kuunganisha kuna tofauti gani? An Ending result ni nini?

Fuatilia hizo nyuzi juu utaona tofauti ya kuunganisha na kutengeneza imeelezewa hapo juu..

kutengeneza kunahusisha kudesign, kuunganisha na kutest, kudesign kuna calculation hufanyika na kutoa specification ambazo mwishowe ndio chombo husika huundwa..
 
Kwa Magufuli kila goti lipigwa.

Na hii itakuwa habari ya kuumiza sana kwa watetea mafisadi
Angalia kutro wewe usijekiletea matatizo kizazi chako. Utukufu wa mwanadamu mnauvusha mipaka sasa.

By the way, mafisadi ndio nani? Wale tulioambiwa tuwaache wapumzike?
 
Naomba mwenye data zifuatazo atusaidie:

1. Uwezo wa kubeba magari na abilia wa MV Magogoni na MV Kigamboni.
2. Bei ya sokoni ya MV Kigamboni na MV Magogoni kwa sasa.
3. Kivuko cha uwezo na ubora kama wa hicho cha MV Kazi ni shilingi ngapi sokoni.

Asanteni.
 
kimetengenezwa na watanzania au kimeunganishwa na watanzania...???..

kutengeneza = design+manufacturing+assembling+testing+commissioning.
kuunganisha = assembling+testing +commissioning.

kuunganisha kwa engineer yeyote mwenye uzoefu kwenye kazi husika sio tatizo na ukizingatia michoro ipo ni kama kuunganisha makabati ya kichina tu...
Hater!
 
Naomba mwenye data zifuatazo atusaidie:

1. Uwezo wa kubeba magari na abilia wa MV Magogoni na MV Kigamboni.
2. Bei ya sokoni ya MV Kigamboni na MV Magogoni kwa sasa.
3. Kivuko cha uwezo na ubora kama wa hicho cha MV Kazi ni shilingi ngapi sokoni.

Asanteni.
nyie ndio mliopinga gharama za ujenzi wa hosteli na mkatabiri zitaanguka mapema
 
nyie ndio mliopinga gharama za ujenzi wa hosteli na mkatabiri zitaanguka mapema

Mkuu acha kuwa na mawazo hasi kwa kila jambo, mimi nimeulizia hizo taarifa ili tufanye uchambuzi wa kimahesabu, tuone tumeokoa shilingi ngapi kwa huo mradi, na kama tulizoziokoa ni material basi tuangalie uwezekano wa kuweka mkakati wa kuendelea kuwatumia hao jamaa.

Sasa wewe unakuja na allegations za moja kwa moja eti nimepinga, tujifunze kujibu hoja bila kupeana majina ya usaliti.
 
Mkuu unakosea...hatukatai kufanya outsourcing kwa baadhi ya parts, hivi unaweza ukasema huyo Songoro ni parts zipi anazitengeneza mwenyewe?
Kwa jinsi ya meli zilivyo, lazima zije ziunganishiwe hapa hapa..hili lipo miaka na miaka kwenye inland bodies!!
Usi conclude kwamba nakosea na wewe unakosea kwa sababu unachokiandika ni hypothesis tu kama yeyote humu, outsourcing haimaanishi that product isnt made hapa Tz,huyo Songoro anaconstruct na final product ni made in Tanzania that's what you need to know.... Japanese companies such as Toyota, unlike American companies, outsource over 70% of their vehicle content...SOMA makala hiyo ya wenzio huko mbele uondoe matongotongo Why Toyota outsource, advantages and disadvantages (Ivythesis - Ivy League Writing Consultancy) Tunasonga mbele vizuri tu MV KAZI MADE IN TANZANIA
NA hao Japanese useme magari wanayotuuzia sio made kwao! ...tatizo siasa zimeleta upopoma vichwani...Kule kwetu tunasema 'amahala gendie na miisi'
 
Mkuu acha kuwa na mawazo hasi kwa kila jambo, mimi nimeulizia hizo taarifa ili tufanye uchambuzi wa kimahesabu, tuone tumeokoa shilingi ngapi kwa huo mradi, na kama tulizoziokoa ni material basi tuangalie uwezekano wa kuweka mkakati wa kuendelea kuwatumia hao jamaa.

Sasa wewe unakuja na allegations za moja kwa moja eti nimepinga, tujifunze kujibu hoja bila kupeana majina ya usaliti.
MV kazi ni bilioni 7.8 na zote zimebaki hapa hapa tanzania.
Hizo pantoni nyingine ziligharimu zaidi ya bilioni 15 tena ni kutoka nje ya nchi,uholanzi watu walipiga sana dili
 
Projects - SONGORO MARINE TRANSPORT LTD. BOATYARD

hiyo ni website ya SONGORO, hakuna project kama hiyo... labda unisaidia ni kampuni gani iliyotengeneza hicho kivuko Tanzania then nifatilie kama wanaunganisha au au wao ndio kila kitu..
Kwahiyo wewe ukisahau kitambulisho cha uraia nyumbani unabadilika na kuwa mhamiaji haramu kisa huna kitambulisho? Hata mimi nina project kibao sijaziweka kwenye website yangu
 
MV kazi ni bilioni 7.8 na zote zimebaki hapa hapa tanzania.
Hizo pantoni nyingine ziligharimu zaidi ya bilioni 15 tena ni kutoka nje ya nchi,uholanzi watu walipiga sana dili

Sikiliza mkuu, mimi nimeomba data tufanye uchambuzi, wewe unakuja na maelezo ya juu juu kwamba 7.8 zimebaki hapa, kwamba hivyo vingine ni bil 15 zimeenda Uholanzi na issue za watu kupiga hela.

Labda nikuulize kwenye 7.8 (ila kwenye thread nimeona 7.3), unaposema zimebaki hapa hapa una maana kila kilichoko kwenye hicho kivuko kimetengenezwa Tanzania? Kuanzia Engine mpaka housing! Nina uhakika kuna vitu vingi tumenunua nje.

Mkuu tujifunze kujadili mijadala bila ushabiki, ukifanya ushabiki ni ngumu kupata taarifa kamili na kujifunza.
.
Ni hayo tu mkuu
 
Tatizo lako unataka tujadili unachokiamini wewe halafu unajificha nyuma ya kutaka data.
Umesema una uhakika vitu vingi tumenunua nje,sawa tuambie ni vitu gani na kwa gharama gani,ili tupate pa kuanzia
 
Tatizo lako unataka tujadili unachokiamini wewe halafu unajificha nyuma ya kutaka data.
Umesema una uhakika vitu vingi tumenunua nje,sawa tuambie ni vitu gani na kwa gharama gani,ili tupate pa kuanzia

Ni common sense tu, unadhani engine tumetengeneza?

Je, sisi tunazalisha chuma useme mabati ya housing tumezalisha wenyewe na kutengeneza wenyewe?
 
Back
Top Bottom