Dar: Kivuko Kipya cha MV KAZI chazinduliwa, Kimeundwa Tanzania!!

Ni common sense tu, unadhani engine tumetengeneza?
Hata boeing wakitengeneza ndege engine wananunua kwingine.
Tufike mahala tujipongeze kwa hatua tunazopiga,Nina uhakika hiyo meli imeundwa kwa 70% Tanzania kitu ambacho miaka mitatu nyuma kisingewezekana,ingepigwa dili ikaletewa kivukochakavu tena kwa bei ya juu
 
Hauko objective kwa ninachokiuliza, mwanzo ulizungumzia 100% kubaki hapa, now uko 70%, mimi nimeuliza data siyo guessing, kama huna majibu mtu anapouliza kitu jifunze kutojibu.

Nimeomba data, huna data unakuja na hesabu za kufikirika, siyo fair mkuu.
 
Habari za Maendeleo Huwauma sana baadhi ya watu

Maendeleo?
  • Vyerehani vinne ni kiwanda = Maendeleo
  • Gari mbili za kubeba uchafu kukabidhiwa ikulu(White house gademit) = Maendeleo
  • Kivuko feri = Maendeleo

Nani kawaroga nyie pro ccm???
 
Kwahiyo wewe ukisahau kitambulisho cha uraia nyumbani unabadilika na kuwa mhamiaji haramu kisa huna kitambulisho? Hata mimi nina project kibao sijaziweka kwenye website yangu

Hakuna namna unaweza kuwa na project kubwa iliyochukua eti miezi 6 na zaidi halafu unasema umesahau kuweka kwenye website yako, inaonyesha kabisa hauko serious..Tena project yenyewe ni ujenzi wa Kivuko?
 
Mkuu hili ni jukwaa huru, sio sehemu ya kusutana, tunajadili maada kulingana na mtazamo wa kila mtu. Mtoa maada ameleta habari ya kivuko kilichotengenezwa Tanzania, nimesikiliza maelezo ya Waziri sikupata ufanunuzi wa kutosha. Nikiwa member wa jukwaa huru nikauliza kimeunganishwa tanzania au kimetengenezwa Tanzania? kama unamaelezo yanayothibitisha kama kimetengenezwa Tanzania ni vizuri ukayaweka kwa faida ya wengi na pia nikatoa tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..

Changia ukiwa na mawazo huru, lengo ni kupanuana mawazo ili tujenge na twende mbele...
Kwelijukwaa huru sijakutukana wala kukuzarau nimeuliza tuu ilitakiwa ujibu unacho au huna.

Kwa nchi yetu hata kama ameunganisha amefanya jambo kubwa sana ni mwanzo mzuri wabaadae meli kutengenezwa hapa. Kama kweli ameunganisha nampongeza maana bei ya kununua vyuma vya kuja kuunganisha na kununua meli haviendani
 
Kwahiyo hata angekuwa ame- assemble kama unavyosema, angeweka hiyo project kwenye website yake ingebadilika na kuwa katengeneza? Maana unajichanganya, mwanzo ulisema ame- assemble, sasa unasema hiyo project sio yake kisa hajaiweka kwenye web yake, sasa tuambie ni nani ame-assemble/kutengeneza hicho kivuko?
 
Mkuu hili ni jukwaa huru, sio sehemu ya kusutana, tunajadili maada kulingana na mtazamo wa kila mtu. Mtoa maada ameleta habari ya kivuko kilichotengenezwa Tanzania, nimesikiliza maelezo ya Waziri sikupata ufanunuzi wa kutosha. Nikiwa member wa jukwaa huru nikauliza kimeunganishwa tanzania au kimetengenezwa Tanzania? kama unamaelezo yanayothibitisha kama kimetengenezwa Tanzania ni vizuri ukayaweka kwa faida ya wengi na pia nikatoa tofauti ya kutengeneza na kuunganisha..

Changia ukiwa na mawazo huru, lengo ni kupanuana mawazo ili tujenge na twende mbele...
Kwelijukwaa huru sijakutukana wala kukuzarau nimeuliza tuu ilitakiwa ujibu unacho au huna.

Kwa nchi yetu hata kama ameunganisha amefanya jambo kubwa sana ni mwanzo mzuri wabaadae meli kutengenezwa hapa. Kama kweli ameunganisha nampongeza maana bei ya kununua vyuma vya kuja kuunganisha na kununua meli haviendani
 
kimetengenezwa na watanzania au kimeunganishwa na watanzania...???..

kutengeneza = design+manufacturing+assembling+testing+commissioning.
kuunganisha = assembling+testing +commissioning.

kuunganisha kwa engineer yeyote mwenye uzoefu kwenye kazi husika sio tatizo na ukizingatia michoro ipo ni kama kuunganisha makabati ya kichina tu...
Kimeunganishwa na watanzania, kutengeneza nyokooo, watu wajinga sana, wanafikiri kutengeneza ni kazi rahisi, au utaskia mtanzania kagundua gobore, huwa nacheka sanaa
 
Back
Top Bottom