assalaam aleykum wakuu,
gwiji la habari ndug. Jenerali Ulimwengu majira ya asubuhi leo hii amepata ajali..kwa. sasa yupo hospitalini anafanyiwa matibabu..
Habari wanajamvi?
Kwa anaeweza jua ukweli kuhusu Jenerali Ulimwengu ameokotwa maeneo ya ubalozi wa ufaransa jana usiku mkali na sasa kalazwa Moi?
Source
Jahazi clouds
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.