Ajali hii huenda kuna mkono wa mtu.Jamani tuwe macho na ajali hizi katika awamu hii! Nina wasiwasi na kama ni ajali tu kama tunavyojua huyu baba anajulikana kimisimamo katika kutetea demokrasia!
Majizi wa chadema walikuibia nini? Maana majizi, mafisadi, wala rushwa, wa nchi hii wanajulikana si chadema, bali ccm.Amewazulumu majizi wenzake Chadema?
Huo ni mchakato kuelekea utawala wa kiimla.Ufafanuz mkuu hicho ni nini? Uelewa tunatofautiana, ila taarifa ni mhim
Ulitaka itokee upande gani?Direct hit mlango wa dereva!
Sikuelewi.Unanung'unika ,talk like a man.Ulitaka itokee upande gani?
Mbona unaanza kubabaika badala ya kujibu swali. Eti talk like a man, hahaha. Mkishajua Kiingereza uchwara ndio mnajiona baab kubwa.Sikuelewi.Unanung'unika ,talk like a man.
unganisha uuwaji wa Polisi Mbande na UKUTA kuhushishwa na hii ajali!Ajali hii huenda kuna mkono wa mtu.
Bass zitakua zinatokea kwenye mainiHizi pole ni kama zina kaunafki ndani yake, hazijatoka moyoni.