DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Pole sana Generali...Nakuombea uponyaji wa haraka.
 
Pole sana Jenerali Ulimwengu Mungu atakuponya kwa haraka
 
Looks like we have reached the end. Only escalation, scaling-up and intensification remains to be done.
Ufafanuz mkuu hicho ni nini? Uelewa tunatofautiana, ila taarifa ni mhim
Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali asubuhi mapema leo. Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.

Tutaendelea kuwaletea taarifa.

Mwanahabari HuruView attachment 388029

View attachment 388027
 
Hizi ajali hizi..... Mh!!!!!!! Upone mapema Jenerali....
 
Back
Top Bottom