DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Hamna bhana mkuu hii ni kweli pole kutoka moyoni!!kwani wee umejuaje ni kinafki au umelenga nini hasa!!
 
Wajemeni, ajali ni ajali tuu tuache sensetional na speculations kama ni natural au kuna mkono wa mtu japo nakiri kujua pia huwa kuna ajali wa za kupangwa na wale "jamaa zetu", lakini sio kwa Jenerali Ulimwengu sababu Jenerali hamnyimi mtu usingizi! . Hao wapanga ajali, wangekuwepo kweli, wangeishawaajilisha wale wote wanaowakosesha usingizi!.

Get Well Soon, Generali Ulimwengu.

Pasco
 
Back
Top Bottom