Dar inawapotezea watu muda

Huu Uzi wako unafaa uwe taarifa ya habari ya kwanza ITV na TBC1 huo ndo ukweli 9999999%. Mi mwenyewe nikiendaga mkoa najiona mjinga Fulani ivi watu wanafanya vitu vya maana sana.

Enyi mliong'ang'ania dar utajiri namba 1 ni aridhi sasa uko sehemu sqm 400 unanunua 3M. Huku mkoa hekari moja lak3 shubamit bakini na dar yenu
 
Inategemea na status walahi!
DAR ES SALAAM IS MY CITY FOREVER WALAHI!
 
Mwanza mmakula mifupa ya Samaki (Mapanki) halafu unasema mpo juu,hakuna mkoa uliojaa Raha tupu Ila mkoa una maeneo mazuri na mabovu
Nani kakudanganya wewe hivi ulishafika kwanza Mwanza au unasikiliza story za vijiweni wewe , halafu unajifanya mjanja na swali langu hujajibu nimwkwambia nionyeshe maeneo ya jiji la mwanza yaliyo ovyo kama ya Dar umeshindwa

Na kwa taarifa yako Mwanza hayo mapanki unayoyasema hayaliwi na binadamu acha ushamba vitu vingine uwe unauliza ,hayo mapanki ni chakula cha mifugo
Mwanza inasifika kwa kitoweo safi cha samaki wa Sato na Sangara sisi hatuli takataka kama mnazokula nyie wa Dar , mnakula vibua na vitu vya ajabu ajabu halafu mnaita samaki

Mwanza life ni cheap sana kwa kila kitu kuanzia malazi , usafiri na chakula

Karibu sana mkuu hutajutia kuishi Rock City , ukiwa mchapa kazi tu probability ya kutoboa ni kubwa sana
 
Man kupanga sio tatizo wala kukaa kwa shem wako sio tatizo....tatizo ni wew kumcheka na kumponda mwenye kajumba kadogo wakati ni ya kwake na amejenga kwa jasho lake. Unaambiwa bachela hutakiwi kuchangia chochote kweny mkutano wa wenye ndoa zao. Ivo ivo pia...mwenye gari la kuazima hana sauti anapokutana na wenzake wanaomiliki pikipik zao
 
Doh!!!
Mkuu Mimi sipo kutoa ushauri as watu wafanye nini , Bali nimetoa ushuhuda wangu kwa upande wangu jinsi hapo Dar" kwa wajanja "palivyonipotezea muda , mind ya!, mimi ni born town , wakuja hapo alikuwa marehemu baba yangu, kiufupi ile "ng'aaa "nafumbua macho , nilikuwa maeneo ya ocean road
 
Sasa wafanyaje

Tatizo dar inahitaji extra energy kufikia mafanikio. Yaani ni kuhustle haswa hata mda wa kugegeda utakoswa. In short utatoboa ila mateso yake lazima uishie kupata BP.
 
Na ndo huko panaongoza kwa kuwa na omba omba wengi sana, wezi, mateja,vichaa, izo zote ni fursa!?????? na ndo huko mtu akikutembelea mnataka aje na chakula eg mchele na unga wakat nyie mkienda kumtembelea mnaenda na mkate wa bakhresa tu. Acheni zenu nyieee
Kila sehemu inachangamoto zake,hakuna sehemu mteremko,Dar ina mchanganyiko wa watu wote na mikoa mingine ina mchanganyiko wa watu wote.Lakini mwisho wa siku watu wanamiminika kwenye sehemu yenye fursa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii ya ukitoka mkoa kutaka ubebe mchele sijui mahindi ni kweli kabisa MkuuπŸ˜‚πŸ˜‚ ina nikeraga sana
 
Hapo kwenye bold NI WAPI!? Mwanza, Arusha, Tanga, Mara au ni wapi? Funguka watu wakujibu kwa MLINGANISHO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…