Si matarajio yangu kuwa kila mtu akubaliane na hoja zangu, nimesema hizi ni mindset zetu watu wa dar nikiwa najua kabisa , the way unavyopinga kila kitu na kutetea ndivyo nimeishi hiyo Tabia kwa takriban miongo mitatu hapo dar naijua fika and you just belong to the same group.Sio kila mtu atakubaliana na wewe. FYI im not your typical Dar dweller. Kwahio hio typical mindset yako ni wewe na wenzio hainihusu ndio maana mawazo yako na yangu yanapishana.
Dar nzuri kwa biashara na uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa.
Wala hata sio tajiri, ni chalii tu wa kawaida. Anakunja 50 safi ametegesha pool table zake 3 maeneo potential. Yuko zake katesh huko.Huyo anaeingiza elfu hamsini kwa siku huyo si tajiri wa kutupwa.ndani ya wiki atakuwa kama na laki 3.kwa mikoani huyo anamaliza yote.tajiri namba 1 wa mji mzima.kiufupi maisha yawe ya mikoani au Dar. Ukiingiza 15 kwa siku wewe umetoka kimaisha.wengi huwa wanaishia kupata buku 5 siku ikiwa powa buku 10 kwa siku.Ukipiga dili ukalipwa 15000 au 20000 yani siku hiyo utachoka balaaa ni kazi ngumu sana.Kiufupi Tanzania yote maisha ni magumu sana.Labda uishi kijijini kabisa.Huko kuna angalau na ukiwa kijijini ukubali kuishi maisha ya ukijijini.Maisha yetu watanzania yanasikitisha sana hasa vijijini.Nimekaa morogoro.Mbeya,Dar,Songwe nimepita Njombe ,Iringa,pwani.Kwa kweli maisha ni duni sana. Yani tunaishi kwa neema tu.Dar kuna wabongo wachache wenye pesa.Ila sio pesa nyingi.Wanahela sana wenyenyumba za kupangisha Dar.Maana kodi wanakusanya kwa miezi 6.labda unakuta chumba 50,000.amepangisha vyumba nane anakuwa na million kadhaa ambazo zinasaidia kumtoa kimaisha.
Vijana wa mikoani waende tu Dar, ikiwachemsha warudi makwao. Fursa ziko over exploited na biashara ziko na intense competiton sana kwa Dar uzuri hutokosa wateja kabisa. Wajanja ni wengi na pesa ni nyingi. Biashara ili iwe na muonekano mzuri ni mamilioni ya pesa sasa wewe mwenye business ya kishamba unatoboeje?Hahah eti kuchonga miwa,ungechukua nafasi hii kuwaambia vijana wa mkoani wakitaka kuja dar kufanya biz waje na mtaji wa kuanzia kiasi gani,hahah.
Kuuza supu ya pweza na kahawa je?Hahah eti kuchonga miwa,ungechukua nafasi hii kuwaambia vijana wa mkoani wakitaka kuja dar kufanya biz waje na mtaji wa kuanzia kiasi gani,hahah.
Hilo la aina ya shughuli mtu anayofanya unaeza kweli ikawa ni sababu,Mtoa maada inawezekana unahoja,lakini sio kila jambo zuri bhasi litamfaa kila mtu,kuna watu mkoani hawakufanikiwa na dar imewatoa,lakini pia inategemeana na kazi au shughuli zako unazofanya ndio zitatathimini ukae dar au mkoa.
Hapo sasa ndipo utakubali kuwa Dar ni kila kitu...sababu umetumia akili za kidaslam kuona fursa mkoani...kwahy usingeishi Dar nakuhakikishia usingeona hizo fursa, akili ya "mwanadaslam" huwaza vitu vikubwa ambavyo kwa wa mkoani anaona haviwezekani. Kwahy point ya msingi hapa hata kama hukupata mafanikio Dar kwa hustle zako, basi Ile exposure uliyopata ukienda itumia sehemu nyingine inaweza kukutoaNilipomaliza mafunzo yangu ya kininja nilitamani kurudishwa Dar ili kiwe kituo changu cha kazi bahati mbaya sikurudishwa Dar nikaletwa mkoa unaolima mchele aisee huku nimejikuta nafaidi fursa nyingi mno tena ukija huku kijana uliepikwa na jiji la Dar huwezi kuteseka.
Vijana wa mikoani waende tu Dar, ikiwachemsha warudi makwao. Fursa ziko over exploited na biashara ziko na intense competiton sana kwa Dar uzuri hutokosa wateja kabisa. Wajanja ni wengi na pesa ni nyingi. Biashara ili iwe na muonekano mzuri ni mamilioni ya pesa sasa wewe mwenye business ya kishamba unatoboeje?
Hapo sasa ndipo utakubali kuwa Dar ni kila kitu...sababu umetumia akili za kidaslam kuona fursa mkoani...kwahy usingeishi Dar nakuhakikishia usingeona hizo fursa, akili ya "mwanadaslam" huwaza vitu vikubwa ambavyo kwa wa mkoani anaona haviwezekani. Kwahy point ya msingi hapa hata kama hukupata mafanikio Dar kwa hustle zako, basi Ile exposure uliyopata ukienda itumia sehemu nyingine inaweza kukutoa
Baada ya kutoka dar nikaja kugundua vijana wengi niliowaacha dar nikikutana nao wanachojua tu ni majina ya pombe kali mpya mpya+viwanja/club mpya+majina ya magari expensive lkn ukiwauliza zile ndoto kubwa kubwa mlizokua nazo wkt mnasoma wanakwambia maisha ni haya haya chief tule maisha tu.
Nadhani wanakua wameshaona kwa maisha ya dar ndoto hizo ni ngumu kufikiwa .
Kuuza supu ya pweza na kahawa je?
Easy tu mkuu, chukua machine yako ya kutengeneza bisi mpe kijana pale ferry anakuletea 15k kwa siku....ongea na taita pale maeneo ya posta omba uweke kijiwe cha shoe shine weka kijana toka Moshi au komaa mwenyewe kwa siku hukosi elfu 20k...unataka nyingine, haya fungua kibanda kipambe na picha nzr za juice, fanya branding ya glass za juice, tafuta mrembo mmj matata sana mvalishe polo shirt yenye nembo yako ya "athuman healthy juice" awe anazunguka maeneo jirani kusaka wateja kwa smile kwenye bashasha kisha weka maeneo watu wengi kama makumbo kituo cha mabasi, ubungo, au mbezi mwisho........sasa jaribu hayo niliyotaja mkoani kama hata utaweza ingiza elfu 5 kwa siku.Hiyo elfu kumi dar unaipataje kirahisi?
Tuliwaaambia Dar mkuje na vichwa (akili) ninyi mkabeba mizigo sasa mnarudi mlikotoka hoi......tuachieni jiji letu tusonge mbele. Hapa unaweza kuanzisha kijiwe tu na ukapiga pesa ndefu...kuuliza tu 500 na kupelekwa 1000Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.