Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije
Oooooooh haya bwana ...usije ukaishia Mabwepande...Bunju ni karibu na Mabwepande..tehtehtehtehteh
Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije
Dada yangu kuwa makini, usije ukawa uksrimu wa ulimbo huu, wanakuvutia wakusharabu.. funzadume jamaa yangu ni paukwa pakawa..Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije
Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulainiDada yangu kuwa makini, usije ukawa uksrimu wa ulimbo huu, wanakuvutia wakusharabu.. funzadume jamaa yangu ni paukwa pakawa..
Njoo kigamboni umsalimie mama yetu.
Mmetuharibia Uzi wahuni nyie na hilo zigo lenu hata halieleweki , itabidi tuwapige ban😁😁😁Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
Hiyo ni South Africa!
Kwema kaka za masiku mengi nikija dar takuwa na kazi kubwa ya kumitembelea munitembeze basiDada yangu kuwa makini, usije ukawa uksrimu wa ulimbo huu, wanakuvutia wakusharabu.. funzadume jamaa yangu ni paukwa pakawa..
Njoo kigamboni umsalimie mama yetu.
Yes hii southHiyo ni South Africa!
Aiseee ulijua ni kweli kumbeHilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
Alhamdulillah, kwema dada Allah anajaalia, karibu sana dada, madhari nipo nduguyo hakiharibiki kitu ndugu yangu.Kwema kaka za masiku mengi nikija dar takuwa na kazi kubwa ya kumitembelea munitembeze basi
Hahaa!! Mzee mwenzangu sikubanii riziki, ila huyu ni dada yangu, nahofia utatumia zile silaha zetu zile umkafue dada yangu halafu akugande[emoji1787][emoji1787][emoji23]Hilo goma halieleweki ngoja niwaachie vijana muhangaike nalo sie wazee mbinu zetu zishapitwa na wakati siku hizi tunatumia hela unaweza ukatumia mpk laki mbili unakuta unapewa papuchi kiulaini
Anaonekana mjanja mjanja huyo dada yako ha ha haHahaa!! Mzee mwenzangu sikubanii riziki, ila huyu ni dada yangu, nahofia utatumia zile silaha zetu zile umkafue dada yangu halafu akugande[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Usipotee sana basi siwajua maisha msobemsobe hayaAlhamdulillah, kwema dada Allah anajaalia, karibu sana dada, madhari nipo nduguyo hakiharibiki kitu ndugu yangu.
Labda tumuulize ronaldo maana wanacheza timu moja ya taifa na jamaaHivi lile jengo ndefu baada ya la mawasiliano ni la nani.
Sasa dada yangu anakuwaje mzembe mzembe!! Ndugu yangu ni sungura..[emoji23][emoji23]Anaonekana mjanja mjanja huyo dada yako ha ha ha
Sipotei ndugu yangu, nipo.. ukiona kimya we nitafute tu kwenye [emoji3513], wazungu wameturahishia mambo.Usipotee sana basi siwajua maisha msobemsobe haya
Ndugu yangu twende taifa ukang'aze macho katika simba day.Usipotee sana basi siwajua maisha msobemsobe haya
Angalia,ukalimu wote huu,usije Kuwa kitoweo!Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije