KITUO NI SUPER STAR JENGO LIMETIA HESHIMA KWA KITUOLingine hili..View attachment 1172540
Itabid siku moja nije dar na mimi nishuhudie mwenyewe
Ukija nitaarifu nikupeleke Ikulu ndogo yangu maeneo ya Bunju ila uwe umeoga na umevaa nguo mpya zilizopigwa pasiItabid siku moja nije dar na mimi nishuhudie mwenyewe
Hakun shida lazim nije dar na mimiUkija nitaarifu nikupeleke Ikulu ndogo yangu maeneo ya Bunju ila uwe umeoga na umevaa nguo mpya zilizopigwa pasi
Pakulala umeshapata na chakula juu vinywaji pia na magazeti nakupatia. Na pia nitakutembeza viwanja vizuri vizuriHakun shida lazim nije dar na mimi
Waooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nijePakulala umeshapata na chakula juu vinywaji pia na magazeti nakupatia. Na pia nitakutembeza viwanja vizuri vizuri
Dar ni wakarimu mno yaani sijui nikuelekezeje. Ila ukija utayapata mengi sana hayo nilikyokueleza ni machache tu hata nauli ya kurudi utapataWaooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije
Doooh nitakuja ngoja nivuneDar ni wakarimu mno yaani sijui nikuelekezeje. Ila ukija utayapata mengi sana hayo nilikyokueleza ni machache tu hata nauli ya kurudi utapata
Kwani uko wapi mkulu...???Itabid siku moja nije dar na mimi nishuhudie mwenyewe
Kuvuna tena? nikajua ni kadada Fulani English figure, kalio kama lote kumbe unalima?Doooh nitakuja ngoja nivune
kwa hiyo wataifumua hiyo barabara iliyopa sasa hivi?!Tulia kwanza hapo inapita BRT mpaka tegeta utapapenda zaidi
😅😅😅😅😅😅😅😅nalima kaka siwajua msingi kilimo so nisije tena sioKuvuna tena? nikajua ni kadada Fulani English figure, kalio kama lote kumbe unalima?
Kuja muhimu sana, kwani huko mkoa gani nakupandishe Bombadier kabisa😅😅😅😅😅😅😅😅nalima kaka siwajua msingi kilimo so nisije tena sio