ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,079
Sawa basi naondoka
Sawa basi naondoka
Alaaaa kumbe bunju ni pazuri sana tatizo nikija nahamia mazim sasaUnaruka jivu unaenda kukanyaga moto. Mwananyamala na Bunju ni kama kufananisha USA na Sudani Kusini
Njoo kwangu kwanza kule mwananyamala utaenda ukitoka kwangu
Tatizo unapenda sana anasa za dunia. Nlitaka nikuhonge IST we unataka BMW... kwanini lakini @ukhutyTwende bana uliahidi kuninunulia na mashahidi walikuwako twende kule tu
Njoo tu kama noma na iwe noma. Ila nguo uje nazo ulizovaa tu nyingine nitakununulia huku hukuAlaaaa kumbe bunju ni pazuri sana tatizo nikija nahamia mazim sasa
Nakufuata...Sawa basi naondoka
Basi kwa kuanzia tuanzie na hiyo ist haina nenoTatizo unapenda sana anasa za dunia. Nlitaka nikuhonge IST we unataka BMW... kwanini lakini @ukhuty
andaa papuchi yako tuWaooooooooo dar kumbe kuna watu wakarimu hivyo lazima nije
Hahah ngojea nibebee ili nikupunguzie gharamNjoo tu kama noma na iwe noma. Ila nguo uje nazo ulizovaa tu nyingine nitakununulia huku huku
andaa papuchi yako tu
Hasara roho pesa makaratasi tu watu wa Bunju tuna pamba zetu za kikonkiHahah ngojea nibebee ili nikupunguzie gharam
Nakufuata...
Hasara roho pesa makaratasi tu watu wa Bunju tuna pamba zetu za kikonki
Najua unajua pa kuanzia...Alaaaa kumbe bunju ni pazuri sana tatizo nikija nahamia mazim sasa
Hujanitendea hakiHahhaha usije mimepata dharula kidogo
Unataka kunipeperushia ndege? mie naenda nae taratibu atajaa mwenyeweandaa papuchi yako tu
Ila kwenye mteremko tutaongeza kasi, si eti enh?Haya mdogo mdogo twende