ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,079
Mim nipo huku bwai musoma ndani ndani hukuKwani uko wapi mkulu...???
Mim nipo huku bwai musoma ndani ndani hukuKwani uko wapi mkulu...???
Halafu usiite kaka niite binamu😅😅😅😅😅😅😅😅nalima kaka siwajua msingi kilimo so nisije tena sio
Nipo musoma ndani ndani kabisaKuja muhimu sana, kwani huko mkoa gani nakupandishe Bombadier kabisa
😅😅😄😄binamu bwanaHalafu usiite kaka niite binamu😅
Ndani ndani wapi Musoma naijua vizuri sanaNipo musoma ndani ndani kabisa
Bwai London hapaNdani ndani wapi Musoma naijua vizuri sana
Ha !!! kumbe tuko karibu tuu..Mim nipo huku bwai musoma ndani ndani huku
Hapo sasa tunaongea lugha moja😅😅😄binamu bwana
Okay mie huko nina ndugu yangu nitamwagiza akuletee nauli ya kuja utakuja kwa basi utarudi kwa ndege. Sawa mtoto mzuri?Nipo musoma ndani ndani kabisa
Sawa kaka binamu nitafurahi sanaOkay mie huko nina ndugu yangu nitamwagiza akuletee nauli ya kuja utakuja kwa basi utarudi kwa ndege. Sawa mtoto mzuri?
😂😂😂😂😂😄
Hapo sasa tunaongea lugha moja
Kwani hapo Mwananyamala unapoishi sio Dar?Itabid siku moja nije dar na mimi nishuhudie mwenyewe
Utakaa siku ngapi ukija?Sawa kaka binamu nitafurahi sana
Kwelii njoo nyumban basi leoHa !!! kumbe tuko karibu tuu..
Hihiihihihihihihihi umekuja mpk huku jamani twenzetu kwenye magari mazuri ushakukumbukaKwani hapo Mwananyamala unapoishi sio Dar?
Ikiwezekana nahamia kabisa🤗🤗Utakaa siku ngapi ukija?
Mumeo hayupo nisije nikapigwa panga...😆😆😆Kwelii njoo nyumban basi leo
Sina mume wew njoo tuMumeo hayupo nisije nikapigwa panga...😆😆😆
Kuhamia itakuwa ngumu njoo ukae wiki moja nione utendaji wakoIkiwezekana nahamia kabisa🤗🤗
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka khaaa bas nitaenda kwa yule wa mwananyamalaKuhamia itakuwa ngumu njoo ukae wiki moja nione utendaji wako