Dar hii nitapata wapi USB-to-HDMI converter?

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,040
662
Wadau nahitaji hii kifaa. Nitapata wapi hapa Dar? Kama unayo na huitumii naomba uniuzie.

download.jpg
 
Kariakoo karibu na shule ya Benjamin Mkapa high school au karibu naTBL kuna jengo refu linaitwa China Plaza nyuma ya jengo hilo ulizia dukani kwa Waganda utaonyeshwa
 
hivyo vifaa vimejaa kibao aggrey ila zingatia haya

1. hakikisha simu yako ina mhl
2. ujue inasuport mhl version ipi, maana zipo nyingi na kila version ya mhl ina idadi ya pin zake tofauti kuna ya pin 5, pin 11 etc

mfano yako inakubali pin 11 ukanunua ya pin 5 itabidi utafute tena adapter ya pili ya pin 5 kwenda 11.

mimi yangu nilinunua makutano ya aggrey na likoma yale yenye acessory za simu.
 
Mkuu nisaidie mhl ndio nini? Techno W4 inamsapoti mhl?
 
Hv ambalo sijaelewa ni kuwa anaongelea simu zenye hdmi port au anataka kuconnect na usb Port hizi za kawaida za smartphone????
 
tecno ninavyofahamu hazikubali, kuangalia list ya simu za mhl nenda hapa

MHL® – Devices

MHL ni kifupi cha mobile high definition link ni feature inawekwa kwenye usb ya simu ili uweze kuangalia content za simu kwenye tv au kifaa chengine cha HDMI kwa quality kubwa, picha yake ni kama aliyoweka mtoa mada juu na nyengine zinakuwa na waya wa kuchaji kama hii

item_L_5836083_3099845.jpg

kama unavyoiona upande unakuwa ni usb ya simu na upande ni hdmi.
 
tecno ninavyofahamu hazikubali, kuangalia list ya simu za mhl nenda hapa

MHL – Devices

Ahsante mkuu
 
Ni kama bei gan???
 
mimi nataka vga to hdmi
kvd mjini makunganya shilingi 120,000

pia kuna maduka morogoro road nimeziona 70,000 ila sio nzuri kama za kvd.

kama unataka kwa ajili ya desktop ni bora tu utafute gpu kuliko HDMI converter
 
Back
Top Bottom