Dar hii nitapata wapi USB-to-HDMI converter?

Dar hii nitapata wapi USB-to-HDMI converter?

hivyo vifaa vimejaa kibao aggrey ila zingatia haya

1. hakikisha simu yako ina mhl
2. ujue inasuport mhl version ipi, maana zipo nyingi na kila version ya mhl ina idadi ya pin zake tofauti kuna ya pin 5, pin 11 etc

mfano yako inakubali pin 11 ukanunua ya pin 5 itabidi utafute tena adapter ya pili ya pin 5 kwenda 11.

mimi yangu nilinunua makutano ya aggrey na likoma yale yenye acessory za simu.
Zinauzwa bei gani vile vile unafanyaje kwenye simu kujua kama ina mhl
 
Wadau nahitaji hii kifaa. Nitapata wapi hapa Dar? Kama unayo na huitumii naomba uniuzie.

View attachment 503156
c9a2386d15695b407efcda70f903d50a.jpg

Vifaa vya HDMI to smart original
Price 32000
Jipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu 0672852415
 
Mkuu nimezunguka Arusha nzima sijazipata! Nahitaji ya smartphone ya kawaida na pia ile ndogo yake! Kama za Blackberry10! Nawezapata?
Kama upo serious tufanye biashara 0672852415 au fatilia post yangu kwenye matangazo madogo na biashara
 
Mkuu nimezunguka Arusha nzima sijazipata! Nahitaji ya smartphone ya kawaida na pia ile ndogo yake! Kama za Blackberry10! Nawezapata?
za blackberry 10,000 tu, ile inaitwa micro HDMI unazipata uhuru na msimbazi kwenda uhuru na congo nje ya maduka ya wasomali, seti nzima inakuwa 20,000 ambayo ndani ina hdmi, mini Hdmi na micro Hdmi.
 
za blackberry 10,000 tu, ile inaitwa micro HDMI unazipata uhuru na msimbazi kwenda uhuru na congo nje ya maduka ya wasomali, seti nzima inakuwa 20,000 ambayo ndani ina hdmi, mini Hdmi na micro Hdmi.
Asante mkuu.
 
wakuu hebu tupeni maujanja ya kutumia hivi vitu kwa faida ya wote..mfano nina simu yangu ya samsung j7 na nina tv ya samsung sio smart tv..nataka kuangalia u tube ..from sim to tv..au nichague app yoyote ile kwenye sim niangalie kwenye tv yangu.je nitumie vifaa gani ili niunganishe from sim to tv asant .
 
Kifaa ni hicho ulicho onyeshwa hapo juu bei elfu sabini karibu ofisini [HASHTAG]#0672852415[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom