Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Nimegundua sasa kwanini moyo wangu ulikuwa mzito tangu asubuhi kuhusiana na huu usafiri..nilikuwa nimeshanusa hujuma japo sikujua ni hujuma gani
Mkuu Mshana, nami pia sikuwa na amani kabisa na matumizi ya hii chopa na nilihisi kuna jambo baya tu..

Kwa jinsi Meko alivyo katili, hachelewi kufanya yale aliyofanyiwa Filikunjombe..

Kwani Ben Saanane yupo wapi..?!

Wauwaji wakubwa hawa.
 
Hivi hawa CCM tunaweza waita ni binadamu wenzetu, pamoja na hizi figisu figisu chungu mzima wanazowafanyia viongozi wetu wa Chadema?
 
Mkuu Mshana, nami pia sikuwa na amani kabisa na matumizi ya hii chopa na nilihisi kuna jambo baya tu..

Kwa jinsi Meko alivyo katili, hachelewi kufanya yale aliyofanyiwa Filikunjombe..

Kwani Ben Saanane yupo wapi..?!

Wauwaji wakubwa hawa.
Nami niliogopa
Nikikumbuka ya Filikunjombe
Nadhani kubwa ni Kumshukuru Mungu kwa hili
Chadema tumieni usafiri wa barabara ni salama zaidi kuliko anga
Ni maoni yangu tu

Yaliyopashwa kujiri mbele who knows
Twende hivi hivi kama kinyonga tutafika
 
Wafanye yote Ila kuiba kura na kuengua wagombea tusije tu kulaumian a.

Cc. Tume.
 
Hii habari imetolewa na afisa habari wa chama cha Chadema kweli?

Kwanini asiweke hizo sababu zisizoeleweka kwenye hilo bandiko? Na badala yake anaelezea mambo ya kutafuta sijui usafiri

Kwangu mimi hii imekaa kijanjajanja zaidi kama vile wanatafuta excuses

Ushauri waache kulalama watafute mbadala, wananchi wanawasubiri na muda unasonga hausubiri
 
Nami niliogopa
Nikikumbuka ya Filikunjombe
Nadhani kubwa ni Kumshukuru Mungu kwa hili
Chadema tumieni usafiri wa barabara ni salama zaidi kuliko anga
Ni maoni yangu tu

Yaliyopashwa kujiri mbele who knows
Twende hivi hivi kama kinyonga tutafika
Umesema kweli tupu Mkuu.
 
Back
Top Bottom