Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Wanaona Kisu akitumia helikopta atazidi kupata watu kwa kuwafikia wengi zaidi. Hapo ndio ccm watajua ni ngumu kiasi gani kuongoza watu wasiowakubali.
Kuna ugumu gani kwani jamaa wamekaidi wakaondoka na ndege??
 
Chadema hawakosagi sababu :D:D.
Hapo tayari wameshaangushia jumba bovu kwa TCAA.
Mnawezaje kupanga safari, mkaenda hadi Airport, mkakaguliwa huku mkiwa hamjapewa permit ya kutumia hicho chombo? Ina maana hamkufanya maombi mapema ili kuwa na uhakika na safari zenu? Kwa nini kila kitu mnafanya at last minute? No planning
 
Juzi alisema kuna hujuma ya kuharibu ndg ili apate ajali,leo kazuiliwa ili aepushwe na hujuma hizo,analialia.
Najiuliza,Ni lini ataacha kulialia huyu msingida.
Asimame km shujaa wa chama?
Kawaambukiza hadi wafuasi wake humu kila siku kulialia tu hawanaga solution kabisa ya vilio vyao
 
Juzi alisema kuna hujuma ya kuharibu ndg ili apate ajali,leo kazuiliwa ili aepushwe na hujuma hizo,analialia.
Najiuliza,Ni lini ataacha kulialia huyu msingida.
Asimame km shujaa wa chama?
Ndio sababu walizotoa mamlaka ya anga?
 
Back
Top Bottom