Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Mbona sababu za kuzuiliwa Hiyo helikopta Hawakuweka?

Chadema waongo helikopta hata Gwajima anayo yaweza kukufuata ulipo kukubeba huhitaji kwenda airport sababu ile sio ndege kuwa kuruka na kutua ni airport!

Diamond mbona huenda maonyesho kibao na helikopta na huwa hapandii airport?

Chadema acheni usanii sisi ndege tunapanda sana Kwa hilo la helikopta ni fix waongo nyie
 
Mkuu Mshana, nami pia sikuwa na amani kabisa na matumizi ya hii chopa na nilihisi kuna jambo baya tu..

Kwa jinsi Meko alivyo katili, hachelewi kufanya yale aliyofanyiwa Filikunjombe..

Kwani Ben Saanane yupo wapi..?!

Wauwaji wakubwa hawa.

Wakuu hamkuwa peke yenu.

Kenya Saitoti ilikuwa hivi hivi.

Ukute aliyefanyiza Dodoma atakuwa tayari alishaanza kuipigia Chopa mahesabu.

Muhimu sana kuwekeza kwenye kutambua roho ya Lissu hawajaacha kuisaka.
 
Baba Jessca ni muoga kuliko mbwa za bus stand.....atajiharishia mzee wa watu....sipati picha MACCM KAMA MBWAKOKO
Ya Mungu ni mengi! Utajuaje, je kama ni kweli? Maana wewe kazi yako ni kulalama Tu, na Huna utalaamu wowote wa anga!

Mshukuru Mungu Kwa Hilo, maana pengine lisingetokea hilo, yangetokea makubwa zaidi ya Hilo, je kweli kama ndege ilikuwa ni mbovu ama anga lilikuwa si Rafiki?

Pili, punguza hasira, weka mipaka hayo matusi yako, ushakuwa mtu mzima sasa
 
Lisu alibaini hujuma , na hujuma juu yake ndani ya huo usafiri. Ashukuru Mungu wamemsaidi.
Uongo helikopta hupandii airport inakufuata ulipo kukupeleka utakako

Gwajima na Diamond mbona huwa zinawafuata walipo? Chadema waongo
 
Tumeamua ndege,tumejenga vivuko na meli.
Tumejenga mabarabara na Stieglers George......
Hayo yote yanawaletea hofu badala ya kujiamini.
 
Hahahhahaha... Safi kabisa! Huyu waendelee kumfinya hivi hivi kimya kimya,!

Aliniudhi sana siku ile yupo Iringa anasema eti ule uwanja wa chato Magu kajenga kwa ajili yake na mama yake.
Hata kama ule uwanja Magu kakosea lakini hilo tusi ni kubwa sana!

Sasa waendelee kumfinya hivi hivi. Na wawe wanamfinya sehemu ambazo yule beberu wake ahatasikia akipiga kelele.
 
Juzi alisema kuna hujuma ya kuharibu ndg ili apate ajali,leo kazuiliwa ili aepushwe na hujuma hizo,analialia.
Najiuliza,Ni lini ataacha kulialia huyu msingida.
Asimame km shujaa wa chama?
Siku hizi CCM wanawapenda sana CHADEMA.Hawataki wapate madhara.
 
Back
Top Bottom