Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Ashikiliwe hadi hiyo j4 kwani kauwa??

Akiruhusiwa halafu aitwe hiyo j4 kwani hatakuja??

Nchi za kiafrika machafuko mengi yanayotokea ni kwa kuwa zina viongozi mambumbumbu sana wasiojielewa ndio wanaopandisha watu hasira za kuanzisha fujo.

Haiwezekani umuweke mtu mbali na familia yake kwa sababu zisizo na mashiko,kuna raia wanaumizwa sana na hawawezi kuzitakia mema serikari hizo,haki za raia hazizingatiwi kabisa na wenye mamlaka,ni wabinafsi mno.
Wewe ndio mbumbumbu mzungu wa Reli,jinga sana
 
Back
Top Bottom