Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Hivi ilikuwaje wabunge wote hawa kuruka bail conditions? Je, kwa nini walifanya hivyo? Je, walikuwa wanataka kutingisha kiberiti? Nani aliwapa ushauri huo?
 
Hivi ilikuwaje wabunge wote hawa kuruka bail conditions? Je, kwa nini walifanya hivyo? Je, walikuwa wanataka kutingisha kiberiti? Nani aliwapa ushauri huo?

Muwekeni huko magereza mpaka jiwe atoke madarakani kwani yeye ndio anayeratibu mwenendo wa hiyo kesi ya kumbumba.
 
Muwekeni huko magereza mpaka jiwe atoke madarakani kwani yeye ndio anayeratibu mwenendo wa hiyo kesi ya kumbumba.

Sasa hii akili au matope? Wabunge wanafahamu sheria, ilikuwaje wasiende Mahakamani? Vile vile kama una udhuru si wakili atatoa maelezo, hizi dharau ndio zinawaponza. Hivi mnafikiria sheria ni kwa raia tu? Wahenga walisema sheria ni msumeno unakata kote kote. Mwacheni ale uji huko Kolokoloni hadi J4.
 
Haki itendeke, kama ametenda makosa sisi hatuwezi kuingilia sheria
Ni kweli. Ila na ww sijawahi kuona ukitoa maoni tofauti. Wakikubali unakubali, wakikataa unakataa, wakikanusha kukubali unasema ni sawa, wakikanusha kukataa unasema ni sahihi. Huoni una tatizo kuliko la halima?
 
Wabunge wa upinzani saa zingine wanakosea sana. Wanajua kabisa ile kesi inatakiwa iishe ila kila siku hawapo
Na ile ya masheikh mbona haiishi wakati wanawashikilia kila siku?.Hoja zingine zinafikirisha sana na jibu halipatikani!
 
MY TAKE:

Kama Mahakama imeagiza akamatwe, wamkamate na kumpeleka kwa Mhimili uliomujitaji. Unashikilia wa kazi gani. Hii ni chuki ya Wazi ya vyombo vya Dola kukumoa Viongozi na Wanachama wanaopinga maovu na unyonyaji wa CCM. Yaani Polisi wanakuwa wanawinda Viongozi wa Vyama vya Upinzani wanakosa sababu ya kuwakamata, so wakipata nafasi, wanataka wamalizie hapo Hasira zao.

ATAKUA AMEONEWA KAMA SHERIA INASEMA UKITOLEWA AMRI YA MAHAKAMA HUTAKIWI KULALA KITUO CHA POLISI KINYUME NA HAPO POLISI WAKO SAHIHI.

Na yeye anajua kwamba anakesi mahakamani kwanini hatoi taarifa kwamba ana udhuru. Na ikumbukwe kwamba huyu ni MWANASHERIA inamana hizo technicalities za kisheria yeye hazijui au dharau.
 
Naomba Leo nisitukane yeyote yule! Ni Sabato hivyo hawa wa CCM nawaweka kiporo
 
Ninaipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya mtukufu Dr.Pombe kwa kuendelea kukamata kamata wapinzani wake.
safi sana mheshimiwa endelea kuwatesa wapinzani .
Inabidi bunge litoe azimioi la kupongeza na hili.
Wakati mwingine mnachangia sana kuwatia ujinga hawa viongozi wa upinzani. Badala ya kuwaelimisha na kuwasihi kufuata masharti ya dhamana yao nyie mnakimbilia kumlaumu Rais. Hivi huu ni ujinga umewaandama au ni uzuzu? Mtu kavunja masharti ya dhamana yake hadi mahakama inafikia hatua ya kumtaka akamatwe nyie na viherehere vyenu mnapiga matarumbeta kumrushia lawama Rais, mnataka kutuaminisha kuwa Rais ndiye aliyewaambia wasifuate masharti ya hiyo dhamana? Kama kweli manawapenda hao viongozi basi ifike mahali muwaambie ukweli ili wajirekebishe tabia zao. Wanabaki kuhubiri oooh tunataka utawala wa sheria wakati wao wenyewe wanashindwa kuonyesha kwa vitendo jinsi utawala wa sheria unavyopaswa kuwa.
 
Sheria lazima zifuatwe. Mahakama lazima iheshimiwe. Taifa lisilofuata sheria ni Taifa mfu. Hongera Polisi na mahakama kwa kuwakumbusha!
 
Back
Top Bottom