Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Dar: Halima Mdee kulala Korokoroni Polisi hadi jumanne

Tanzania tunafanya mambo mengi ya kipuuzi,mbunge ameenda mwenyewe polisi halafu mnauweka ndani mpaka j4? For what? Upuuzi sana jeshi la polisi wanafanya.
Kwani ameenda mwenyewe au alisikia anatakkiwa akamatwe kwa amrei ya mahakama.
 
Sasa hii akili au matope? Wabunge wanafahamu sheria, ilikuwaje wasiende Mahakamani? Vile vile kama una udhuru si wakili atatoa maelezo, hizi dharau ndio zinawaponza. Hivi mnafikiria sheria ni kwa raia tu? Wahenga walisema sheria ni msumeno unakata kote kote. Mwacheni ale uji huko Kolokoloni hadi J4.

Kama sheria ni msumeno ilikuwaje rais akapokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi, huku jeshi likiwa limetengwa kikatiba na siasa? Au huo msumeno ukifika hapo haukati. Ni hivi, jiwe hakustahili kuwa mkuu wa nchi maana hajui katiba maana yake ni nini, anajua madaraka yake ni kwa ajili ya kuumiza wote wasiomsujudia.
 
Huyo alituambia kipindi kile kwamba kule mahabusu alikuwa anakula bata kwa hiyo hata wakimpumzisha mwezi mzima haina shida.
 
Hawasahau kuvaa nguo, kula, kwa nn wanapuuzia kesi yao. Sheria ichukue mkondo wajitetee
 
Wabunge wa upinzani saa zingine wanakosea sana. Wanajua kabisa ile kesi inatakiwa iishe ila kila siku hawapo

Unapo sema kila Siku una maanisha nini Mkuu ?
 
Ni uwendawazimu tu. Kuna siku hilo litadhihirika.
 
Sio kweli
Ni kweli. Ila na ww sijawahi kuona ukitoa maoni tofauti. Wakikubali unakubali, wakikataa unakataa, wakikanusha kukubali unasema ni sawa, wakikanusha kukataa unasema ni sahihi. Huoni una tatizo kuliko la halima?
 
Kwa nini hawakwenda mahakamani wakati wanazijua taratibu za kesi yao?Kwa uzoefu wa miaka hii minne ni kuwa hawa Chrismas ni ndani na mwaka mpya.
 
Maboso,

..tatizo wana kesi ya kubambikiwa.

..mahangaiko wanayopitia chanzo chake ndiyo hicho.
 
#ANAITWAROMA kazungumzia mishahara ya polisi ni midogo hadi wapigwe tafu (rushwa)ndio waishi lakini wanao watetea ndio wanachuki nao
 
Haya ni maendeleo yaliyoletwa na serikali ya awamu ya tano KAMATA KAMATA INDUSTRY, huku kwetu debe la mahindi imefikia 24000 tunaipongeza serikali ya awamu hii.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ilikuwaje wabunge wote hawa kuruka bail conditions? Je, kwa nini walifanya hivyo? Je, walikuwa wanataka kutingisha kiberiti? Nani aliwapa ushauri huo?
Umesha sikiliza sababu zao? Usiwahukumu kabla hujajua udhuru wa kila mmoja.
Sio jambo la fahari kumuweka rumande mwakilishi wa wananchi hovyo hovyo. Hivi unadhani hapo Kenya tuu mambo ya kipumbavu kama hayo wanaendekeza? Waliacha baada ya kundi la Mungiki kushikisha adabu wenye mamlaka!
Hapo ungesikia mfano mtoto wa Lugola aliyeshule kachotwa na Mungiki na kumlamba bakora huku akiambiwa kamwonyeshe baba yako matako yaliyovimba mwambie huyo mbunge wetu Halima anahitaji heshima.
Matukio kama hayo yalikuwa yanawapa muda wa kutafakari kutofanya maamuzi ya kukomoa wengine hujui familia yako yaweza kukumbana na lipi.
 
Back
Top Bottom