Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

ILIKUWAJE? HEBU TUPE KISA KIDOGO
 
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).

Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.

Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.

Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Status iliyobeba ujumbe wa kutisha
IMG-20210716-WA0237.jpg
 
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25)...

Wallahi bora nichomwe moto na mwanamke chuchu chuchu kweli Konzi kama zote sio kama hilo bata utopolo likifua hovyo kabisa. Hata kwa mpalange bata kama hilo utamu utakuwa wa matopolo tupu.

Daah sijui tunakwama wapi. Bila chuchu konzi hio ni scrapper, tupa huko wacha wengine wapimishe.
 
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).

Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.

Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.

Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Huyu aliona gunia 2 za mkaa hazitoshi akaenda mbali zaidi
 
Kuna jamaa alimchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa.

Tukiambiwa kisasi cha mwanamke ni funga kazi tuelewe.

A sane person will commit a crime huku ana plan ya kutojulikana just like anko wa magunia mawili but this lady? She just burnt the whole house with zero fvcks on getting caught.

Mwanamke akilipa kisasi dunia na watu wake huwa vinasimama kwanza kusikilizia uzito wa hilo tukio. Mwanamke majeruhi ni sawa na mbogo aliyechaji
 
Wanawake wa kichaga ukiamua kumuoa mmoja wao nawe si mchaga unahitaji kujipanga. Wanapenda kutafuta Mali, akiona huwezi kutafuta mnaweza achana, na Kama mnatafuta mkiwa vizuri, anaweza kukutafutia Visa ili mgawane au kukuua kabisa.
Nimeshuhudia hili, jamaa yangu yamemkuta, mwanamke alitafuta visa waachane ikashindikana, akaanza kutembea na bodaboda, rafiki yangu akainua mikono
 
Back
Top Bottom