Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Wengine wakimaliza hawawezi hata kunyanyua mkono, na huenda Grace alimpa na akampa tena!

Kina Hawa ni viumbe hatari sana!
We mbona muongo? Huyo ambae awezi nyanyua mkono ni mgonjwa, akuna mawanaum mzima wa afya ambae akimaliza anashindwa kunyanyua mkono, never
 
Sasa jichanganye hata kwa mzaramo ndo utaelewa ukishakua mkavu kama kuti saa hiyo. Munapenda wanawake wanyonge muwaonee na kuwanyanyasa. Wengine makwao wamelelewa kwa upendo, confidence. Kujiamini na kujua haki zao. Akakutane na wewe kirambasi unamnyanyasa akuvumilie tu awe submissive siyo? Umpige akuangalie tu, umtukane akae kimya tu. Jichanganye ndk utaelewa
Aaa wapi ww, ww unaongea kwa sabb una njaa na una stress 2
 
Bora tuwaambie wapone bana wengi wameuliwa kimya kimya Kuna dada nilikutana naye akasema mume wake ana msumbua alimtaftia sumu Ina mkula taratibu na kalazwa muhimbili anajifia. Mapenzi ni hatari Sana mapicha yakizidi zidi heri mutengane hata kwa mda
Huyo rafik ako hakuogopa kukuami na kukuambia hayo kwel?
 
Huyo rafik ako hakuogopa kukuami na kukuambia hayo kwel?
Hakuogopa alikuwa na machungu tele tele moyoni na alishatekekeza na bwana alikuwa kalazwa muhimbili haijulikani anachoumwa loh.
Watu waache kuchezea watu hisia.
 
Hakuogopa alikuwa na machungu tele tele moyoni na alishatekekeza na bwana alikuwa kalazwa muhimbili haijulikani anachoumwa loh.
Watu waache kuchezea watu hisia.
Kama haikujulikana anachoumwa basi alimroga,hakumpa,sumu ya kawaida. Kwa iyo rsfik ako alkua mshirikina
 
Hakuogopa alikuwa na machungu tele tele moyoni na alishatekekeza na bwana alikuwa kalazwa muhimbili haijulikani anachoumwa loh.
Watu waache kuchezea watu hisia.
Kwan huko Sinza kwa hao wajane, ni wanaume zao tu ndo walikua na makosa mpk wawaue???
 
Back
Top Bottom