Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Kule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli

Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi

Mkazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Poleni wafiwa
Wivu ni mbaya
maimarthajesse~p~CRYndRQN0lj~1.jpg

Mumewe ni huyu
Neema kwa Kingereza ni Grace so yote ni sawa inategemea tu kwenye kitambulisho kaandika lipinski linalotambulika officially!!!
 
Wanatabia za ajabu sn hao watu, babu yangu alioa mchagga alikiwa anafanya kazi bank ya post kipindi huko ipo yenyewe tu nadhani, babu alichuma Mali za kutosha limama la kichaga (mkewe) alimuua kisha kutaifisha kila kitu na kukimbilia America miaka ya 90, binafsi kanda ya huko siwezi kuoa.
Nimeshuhudia hili, jamaa yangu yamemkuta, mwanamke alitafuta visa waachane ikashindikana, akaanza kutembea na bodaboda, rafiki yangu akainua mikono
 
Wanatabia za ajabu sn hao watu, babu yangu alioa mchagga alikiwa anafanya kazi bank ya post kipindi huko ipo yenyewe tu nadhani, babu alichuma Mali za kutosha limama la kichaga (mkewe) alimuua kisha kutaifisha kila kitu na kukimbilia America miaka ya 90, binafsi kanda ya huko siwezi kuoa.
Imekaa kihaini
 
Wachagga hawaolewi na watu hopeless kama wewe
 
Back
Top Bottom