Dar Es Salaamu... Duuh!!

Dar Es Salaamu... Duuh!!

Ona maisha bongo yanavyotisha,
afadhali ya jana kila kukicha,
hakuna hata muda wa kupumzika...(cont...)
by 20%
 
Dar noumaaa,
Nilipanda Dala dala ubungo kuelekea k/koo mida ya saa mbili jion ila tulipofika manzese Konda akasema hapo ni mwisho wa gari na watu wote wakashuka cha kushangaza gari ilipobaki tupu akaanza kupiga Debe upya kuwa gari inaenda k/koo
 
Ona maisha bongo yanavyotisha,
afadhali ya jana kila kukicha,
hakuna hata muda wa kupumzika...(cont...)
by 20%

yanatisha kweli kweli mkuu stevoh! afu kuna chama kina ilani ya "maisha bora kwa kila mtanzania"....Na kwenye majukwaa wanajinadi kwa kutekeleza ilani ya chama chao..
 
Last edited by a moderator:
Dar noumaaa,
Nilipanda Dala dala ubungo kuelekea k/koo mida ya saa mbili jion ila tulipofika manzese Konda akadema hapo ni mwisho wa gari na watu wote wakashuka cha kushangaza gari ilipobaki tupu akaanza kupiga Debe upya kuwa gari inaenda k/koo

Dar bana...
 
Hapa kariakoo kuna unafuu..nyama ng'ombe 1kg..4000/= nimeipenda hii...
 
Hakuna hata muda wa kupumzika, kama vikatuni mbele ya walioridhika.

ona vijana wa bongo wanavyovaa,
cheki pozi zao jinsi wanavyokaa,
wamechoka choka wakachakaa.....(cont....)
 
yanatisha kweli kweli mkuu stevoh! afu kuna chama kina ilani ya "maisha bora kwa kila mtanzania"....Na kwenye majukwaa wanajinadi kwa kutekeleza ilani ya chama chao..

duh! Angalia wana maspai wao hapa...
 
Last edited by a moderator:
Da noma kweli.
Kaka yangu niliwasiliana naye yuko mwanza akaniambia atapanda ndege mda siyo mrefu kuja kwenye msiba. Mimi nikapanda daladala nikamkuta kisha fika kwenye msiba kiwalani ananikaribisha.
 
Hii ndo bongo.com.
-M2 aliyetaka chen katoa pesa bandia na muuzaji akampatia cheni badia...Ni full kuzidiana akili.
 
karibuni mpwapwa jamani. hali ya hewa kama ya peponi.
 
karibuni mpwapwa jamani. hali ya hewa kama ya peponi.

Heee! we mpwapwa upo sehemu gani? mazae, mwanakianga, igovu, mji mpya, kikombo, vinghawe + mitaa mingine! upo kwa wapi wewe...mpwapwa unapaona peponi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom