Ukiwa na uwoga huu dar huwezi kuishi....Acha maisha ya wasiwasi #Dar Nyumbani/DSMduh! Angalia wana maspai wao hapa...
Hatujazoea hali hizo za hewa,,sisi tushazoea Dar yetu upepo ukipita tunafunga macho na kuziba pua...Dar Bhanaaa:crying:karibuni mpwapwa jamani. hali ya hewa kama ya peponi.