Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..

Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .

Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM

TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.

Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.

Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
Ama kwa hakika CDM isirudie kosa la kubadilisha gia angani na kutegemea waliokosa nafasi za udiwani, ubunge ama uraisi kutoka CCM. Ni lazima wajiamini ya kuwa wanao mtaji mkubwa wa Watanzania wanaowaunga mkono kwa hali na mali.

Ni lazima msimamishe Tundu Lissu ili aweze kupeperusha bendera kwa nafasi ya uraisi. Mkibugi "step this time" itakuwa imekula kwenu mazima. Na pia ni ushauri wangu kwa vyama vingine vya upinzani, vyenye mapenzi mema na mageuzi thabiti ktk nchi yetu, mnapaswa kumuunga mkono Tundu Lissu, ila majimbo ya kimkakati kwa nafasi za ubunge na udiwani mkapate kugawana kwa busara.
 
Mwenyezi Mungu ni mwema. Umati huu ni uthibitisho tosha wa mapenzi ya Watanzania kwa Chadema na Lissu. Na kama atatia mguu mikoani itakuwa hatari tupu.

Nyalandu na Membe wakae pembeni wamruhusu Lissu afanye yake.
Mkuu umeongea kweli tupu..
Nyalandu na Membe wakae pembeni Lissu afanye yake..
Huyu ndie pekee anaemuweza Meko kwa sasa.
 
Sawa Washauri Hao Chadema wajenge Makao Makuu hivi hawaoni aibu??
 
Mkuu weka picha halisi hii picha ni ya mwaka 2015 enzi za Lowasa, sioni sababu za msingi za kutumia picha fake na wakati watu walikuwa wengi tu .
Hio hapo mkuu.
tapatalk_1581511567658.jpg
 
Mwenyezi Mungu ni mwema. Umati huu ni uthibitisho tosha wa mapenzi ya Watanzania kwa Chadema na Lissu. Na kama atatia mguu mikoani itakuwa hatari tupu.

Nyalandu na Membe wakae pembeni wamruhusu Lissu afanye yake.
Nyalandu na Lissu ni brothers, they know what they are doing.
 
Back
Top Bottom