Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,807
Hii picha ni kama niliwahi kuiona kitambo sana!Ndio mkuu

Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..
Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .
Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM
TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.
Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.
Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
hii pich sio ya tukio la leo n wakat ule wa uchaguzi 2015 na apo ilipigwa mjini postaNdio mkuu
Ukaamua kutuwekea picha za mwaka 2015. Ila fresh tu.Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..
Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .
Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM
TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.
Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.
Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
😂😂😂😂😂😂😂
Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..
Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .
Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM
TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.
Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.
Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
Swali la kujiuliza ni leo tundu lissu kapita maeneo ya posta au hata jirani na posta?Hii picha ni Leo au wakati wa lowasa?
Hukutakiwa kubisha bali ulitakiwa kuingia chimbo kutafuta ukweli, kitendo cha kukazania hii picha ina maana hata habari yenyewe ni ya uongo.Mkuu hiyo picha ni ya leo. Videos ninayo
Kanakaa kwenye simu kanaangalia moyoni kanajisemea ningekuwa Mimi hawa wangenikoma...Lkn ndo hivo nafasi kameshaachiaKuna kale kajitu kalikokuwa kana jimbwafai mwabafai hapo dar kamechukia sana huko kaliko kanatamani kangebaki kwenye ile nafasi amshughulikie lissu
Kajitu kabaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimefurahishwa na kushangazwa na kitendo cha watu kujitokeza kwa wingi licha ya vitisho vya policcm. Yajayo yanafurahishaSiasa ya chuki huatarisha amani.
Hakuna viongozi wa kisiasa hasa wa upinzani wanapenda amani itoweke ,usipokuwa viherehere wachache wanaodhani wakiwanyanyasa wapinzani wanapata credibility
Leo lissu kapita posta maeneo ya ohio? Picha ni kwenye ile kona ya kuelekea tume ya uchaguzi dar maeneo ya karibu ya wizara ya mambo ya ndani.Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..
Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .
Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM
TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.
Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.
Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
Mjumbe unalizungumziaje hili tukio la leo?Sawa mama[emoji114]
Sijui km nmeelezea mapito yake ....Leo lissu kapita posta?
Wewe ni mwenyeji wa wapi? Hiyo barabara unaijua na hilo jengo kulia juu? Ungecrop hilo jengo kwa kulitoa angalau uneweza danganya wa mikoani angalau.Sijui km nmeelezea mapito yake ....
Inasemaje hiyo barua?Ahh wapi cyo yeye kaamua Ni ile barua ya Robert Amsterdam ndio imewakata Moto. Vinginevyo sas HV ingekuta nimtafutano
Lengo la picha yako ni nini?Mjumbe unalizungumziaje hili tukio la leo?