Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

Hii issue hairatibiwi na Kunengee bali amri zinatoka Centricom na kubwa viongozi wa jeshi hasa TPDF wameingilia kuzuia kuvuruga msiba wa Amiri jeshi mkuuu mstaafu
Kwa Sasa kutokana na msiba TPDF are in charge na Unajua huwa hawatakagi ugomvi na wananchi ambao ikitokea vita ndio wanawategemea slogan yao ni UMOJA
Yeah strategic walioitumia n nzuri ..watu tuna msiba halafu ukaleta vurugu tena mtaani et upige watu virungu sio poa ...
Tuwapongeze JWTZ KWA Kaz nzuri sana.
 
Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..

Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .

Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM

TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.

Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.

Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
Hii picha sio Tz....
 
Ndiyo uamini Mkuu kuiua Chadema si kazi rahisi, hata baada ya miaka mitano ya kudhalilishwa na kunyanyaswa kwa kila namna lakini BADO INADUNDA TU tena kwa NGUVU KUBWA.

Duh hiyo nyomi yooote mmmhhh..!! Afadhali serikali imetumia busara kuto vuruga mapokezi yenu, maana mngepata cha kusema.. Sasa najua CDM kimyaaa
 
Picha inaonyesha mtu shazi alafu media zinasema eti mamia wajitokeza kumpokea lissu.
 
Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu..

Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa wanamsubiria Mh Tundu Lisu...kwa kweli wamekua watulivu sana muda wote hasa viongozi wao walikuwa wakiwasihi kuwa watulivu hasa eneo la Uwanja wa Ndege eneo ambalo ni la kibiashara,kiutalii na zaidi ni eneo sensitive sana .

Niwapongeze pia polisi kufanya kaz bila kufuata maagizo ya viongozi wa CCM

TAIFA letu linahitaji ushirikiano ili kuendelea kuwa na amani ili amani iendelee ku-maintai tunahitaji kulinda haki za bindamu,kuruhusu mawazo kinzani yenye kulisaidia Taifa.

Wapinzani pia kuacha kutumika wa watu wa magharibi kuvuruga amani yetu ..tuendeleze tamaduni zetu za kuheshimu mamlaka,kulinda mila na desturi zetu ...mwenye nacho apewe heshima.

Narudia tena kusema siasa zetu zisituchonganishe sisi sote ni ndugu ,wamoja na wote ni watanzania
View attachment 1518710
Hongera Mh Kunenge-Rc Kunenge
HONGERA polisi
Hongera CDM
Hongera wananchi wapenda demokrasia na maendeleo.
Picha ya UONGO
 
Wana ccm wazoefu walijua
Mbinu hii ya ccm mpya haiwezi kuuwa upinzani
Baada ya miaka minne ya kuwavunja miguu; kuwauwa ; kuwafilisi leo Mgonjwa aliyekua wanadhani anakufa kawa kama vile kapata ARV zikamkubali ghfla ... mji wote umelipuka
Nadhani Magufuli Itabidi abadilishe kabisa washauri wake wa siasa
Ccm ya kina Nape na Kinana ilikua wanatambaaa na hoja hii ya nguvu imewapa nguvu zaidi upinZani

Alafu Taifa wameligawa tunashindwa kumzika Mkapa kwa umoja
Bravo! Mtanzania halisi.
 
Ndiyo uamini Mkuu kuiua Chadema si kazi rahisi, hata baada ya miaka mitano ya kudhalilishwa na kunyanyaswa kwa kila namna lakini BADO INADUNDA TU tena kwa NGUVU KUBWA.

Of Course, kwa stage CDM iliyofikia hawezi kuibuka tu mtu akataka kuiua, hilo ni ngumu sana, labda CDM ife wenyewe kwa wenyewe mvurugane kama vile CUF ya Maalim na Lipumba, leo CUF hali ngumu.. huwezi amini, sbb ni viongozi wao wenyewe, ingawa 😅 na sie tuli chochea chochea kidogo ila still CUF ipo ingawa nguvu imepungua.
 
Ahh wapi cyo yeye kaamua Ni ile barua ya Robert Amsterdam ndio imewakata Moto. Vinginevyo sas HV ingekuta nimtafutano
 
Screenshot_20200727_190248.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom