RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,476
Lumumba huwa niwajinga wajinga wanawaza kwa kutumia matumbo yao.Magufuli huko songwe kalizungumzia hili baada ya kusoma uzi huu , huyo naye muongo ?
Lumumba huwa niwajinga wajinga wanawaza kwa kutumia matumbo yao.Magufuli huko songwe kalizungumzia hili baada ya kusoma uzi huu , huyo naye muongo ?
Halafu wadada wengi wa huko nadhani ni wagumba .Lumumba huwa niwajinga wajinga wanawaza kwa kutumia matumbo yao.
Hakika mkuu, mimi nililipia elfu 50 , hospital yakitete TABORA nilikua nimempeleka mke wa mdogo wangu, sasa wanasema eti hakuna tozo.Ndio maana JPM huwa anayaita nimajinga na mapumbavu.Halafu wadada wengi wa huko nadhani ni wagumba .
Hata wanaume hadi wakamuliwe mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara ndiyo wapate yale mabroiler yao.Halafu wadada wengi wa huko nadhani ni wagumba .
Biashara zote hufanywa kwa matumaini..Lissu tunakuomba uzungumzie na maiti kudaiwa fedha. Kwa utamaduni wetu mtu akifiwa anapewa msaada , pole na kuonewa huruma lakini imekuwa tofauti. Rejea yule mama aliemtaimu Rais Muhimbili akamuomba amsadie maana mwili wa mumewe unadaiwa millioni tano. Mheshimiwa Tindu tusaie.
Akifuta na hii usirudi hapa, wewe una uwezo ndio unaongea mashudu.Biashara zote hufanywa kwa matumaini..
Kwani ni kukopesha mchele gari ikapinduka kabla ya kufika nyumbani mchele ukamwagika ..mwenye duka anaacha kukudai!?
Ukikopeshwa fedha benki, ukafika mtaani kwako zikaibwa ..benki watakusamehe kwa kuwa umeibiwa!?
Biashara ya hospitali inahitaji watu watumie dawa, walipe mishahara, wa lipe umeme na maji.. sasa umekaa hospitali miezi miwili na umeibiwa ila imeshindikana umefariki unataka tusamehe wakati maji umetumia, dawa umetumia na watu wamekuhudumia!?
Au ndio mnataka gharama hizo wawekewe wanaoumwa kichwa na kikohozi!? Maana ni lazima zilipwe!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa! Samahani.Akifuta na hii usirudi hapa, wewe una uwezo ndio unaongea mashudu.
Mimi mtu wangu alijifungua kwa 350K Mwananyamala HospitaliWajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .
Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.
Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .
Ohooooo!!Hata wanaume hadi wakamuliwe mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara ndiyo wapate yale mabroiler yao.
Uzi umesema Dar es salaam.Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
Uzi kichwa chake ni Dar es salaam.Kwa hiyo Temeke,Amana na Mwanayamala ndio Tanzania?
Natolea mfano sehemu nilizopita mkoani kagera mama mjamzito unatibiwa bure clinic bure dsm palestina mtu unajifungua bure.
Zilishafutwa na Raisi uko dunia gani mjamzito halipi chochote Raisi katamka leo tunduma
Kamshika nani sasa hivi nyie mmelogwa au ni kujitoa ufahamu w akiliAcha upoyoyo safari hii magu kawashika kwenye kende hamna kitu chakuzungumzia mmebakiza ni uongo na uzushi tuu kenge nyie.
Mara ya mwisho umejifungua lini?Kibena hospitali kujifungua ni bure ww na vifas vyako
Kiongozi, naona kama umeiweka jamii yote kwenye level yako, na pengine level ya uzinzi, sio wote wanaoingia leba wana waume/wanaume na tena wenye huo uwezo ulioutaja.Sasa 75,000 ina gharama gani wakati inakuletea mwana.
Mbona mnalala na wanawake mbaka kwa laki 1 na hamsini ili ukojoe tu.
Ulitumia shs ngapi kuchochea hiyo mimba?Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika laki 2 unusu kutegemeana na complications .
Gharama hizi hazijumuishi gharama ya vifaa ambavyo mjamzito anapaswa kuingia navyo chumba cha uzazi ikiwemo pamba na gloves.
Kwahiyo basi uchaguzi huu unakupa nafasi ya kuchagua kuendelea kulipia gharama ya kuzaa au la , wale waliotuaminisha kwamba tuendelee kufyatua watoto kwa vile elimu ni bure ni vema wangeanzia kuondoa hii kodi ya kuzaa ili mambo yawe mepesi zaidi na kuwezesha wananchi kufyatua watoto kwa amani zaidi .