Is this the most exciting project in DSM? coz I can't wait either but look at these photos will rest assure that they are working hard on the foundation.
mkuu tuweke na picha za mbagala, mbande, charambe, chamazi, temeke, mtoni, mtongani, yombo...tandale, tandika, manzese, mwananyamara, jangwani mana huko nako ni dar na watu wapo.
mkuu hiyo uchumi store ya kenya ipo DAR ES SALAAM pale quality center mall, hivyo basi ni foreign business in our city, hamna ubaya, au unasemaje mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.