Hatari tuliyokuwa nayo katika jiji la Dar hasa sehemu za Kariakoo ni ujenzi wa maghorofa usiozingatia sio viwango tu bali hata kanuni na taratibu za ujenzi kama zilivyowekwa na jiji!! Hivi sas kuna maghaorofa pale Kariakoo, hasa yale yaliyojengwa na wajenzi wakichina yamekwishaanza kupata nyufa na hayajamaliza hata mwaka!! Ninawasiwasi juu ya miundombinu ya maji taka hasa sehemu za Kariakoo kama itahimili kubeba uchafu utakaokuwa unatoka kwenye hayo maghorofa yanayoporomoshwa kama uyoga.
this was in 2009 IMF Managing Director visit to Tanzania
Former UN General Secretary and President of the Global Humanitarian Forum Kofi Annan (L), Tanzania?s President Jakaya Mrisho Kikwete (C) and International Monetary Fund?s Managing Director Dominique Strauss-Kahn (R) hold a joint press conference March 10, 2009 at the Bank of Tanzania Conference Center in Dar Es Salaam, Tanzania. Strauss-Kahn is in Tanzania to attend a two day conference that will bring together a diverse group of participants that will examine the unprecedented challenge for African policymakers posed by the current global financial crisis. IMF Photograph/Stephen
Flickr 上 International Monetary Fund 的 IMF Managing Director visit to Tanzania
Kila mtu ana akili zake unaweza ukaona hoja iliyopo ni planning & urbanization for slam city like dar (lakini mwenzetu unarusha dongo kwa uongozi, bila kuangalia nafasi na mchango wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.