Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,108
- 2,510
Nimezunguka maeneo ya kupata kitu 'Entetainment' nimegundua bado haziridhishi kwa sababu Entertainment za hapa Bongo especially dar si za kupumzisha akili ndo maana kuna wingi wa stress miongoni mwa wakazi wa Dar.Entertainment nyingi ni za pombe na vidosho.
Bado kuna upungufu wa kupata entertainment za kutosha na zenye kubadilisha akili ikawa fresh.Nchi zilizoendelea kwenye entertainment wamejitahidi na wako mbali sana jamani angalau kwetu huku kuwe na hayo!