Dar entertainment zake si za kutosha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar entertainment zake si za kutosha!

Discussion in 'Entertainment' started by Papa Mopao, Jan 8, 2010.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Nimezunguka maeneo ya kupata kitu 'Entetainment' nimegundua bado haziridhishi kwa sababu Entertainment za hapa Bongo especially dar si za kupumzisha akili ndo maana kuna wingi wa stress miongoni mwa wakazi wa Dar.Entertainment nyingi ni za pombe na vidosho.

  Bado kuna upungufu wa kupata entertainment za kutosha na zenye kubadilisha akili ikawa fresh.Nchi zilizoendelea kwenye entertainment wamejitahidi na wako mbali sana jamani angalau kwetu huku kuwe na hayo!
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndio maana tumeruhusu wawekezaji ili watu wenye idea kama zako muweze kufanya bongo ili nayo iwe kama mamtoni. Watanzania wengi wenye idea hawana mtaji na wenye mtaji hawana idea, take the oppotunity to the reality pamoja tunaweza.

  Remember every good idea can start with you.
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Your right mkuu!
  Kweli entertainment hapa bongo bado kabisa yaani.
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Sasa si utuambie basi entertainment za namna gani hazipo? Haya mambo ya ku-generalize saa nyingine hayasaidii kitu, weka nondo hapa full size Yaani Dar imekosa A, ..B,.... C,.... nk. Sio kutoa porojo tu.

  JF where we dare to talk openly. Wasije wakasema we aren't great thinkers? khe khe khe khe
   
 5. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I didn't know you can sometimes talk some sense into someone! Au ndio mambo ya 2010?!
   
 6. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35


  We should dare talk openly on every issue so that our beloved peasant can be happy thereafter, we should desist when it involves Chelsick. Hiyo ndo unapenda sio?

  Mafia mafia to the core. Chelsick ni timu ya mafia Vikongwe wa darajani kazi yao ni umafia tu kutoka kuiba bidhaa kwenye supermarkets, kuuza unga bar, kuwatisha marefa, kuruka ruka kama kunguru na kupata penalty za bure anazofanya Drog the bar etc. You name it, its available at Chelsick. Roman de abramo vich has cemented the culture. Hawa vikongwe wa darajani tunawatafutia muarobaini ambao tayari unachemka.

  BTW umelima hekari ngapi mwaka huu. Hatutaki njaa Tanzania na ni wewe peasant tunayekutegemea kwa chakula. Na hiyo nembo yako ya Umafia utaondoa lini? Khe khe khe khe khe khe .
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,682
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Jamaa labda anazungumzia mambo ya massage parlors !!!
   
 8. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Tuko pamoja hapa. Hebu atwambie ni entertainment zipi zinakosa Dar kwani wengine hatujui huko majuu kuna entertainment gani ati!!! Wahaya wanausemi kwamba "Atagenda ati mae achumba" ikiwa na maana ya kwamba mtu anakuwa na tabia ya kusifia mapishi ya mama yake kwa kuwa hajapata nafasi ya kuonja mapiashi ya watu wengine. Sasa sisi ambao hatujawahi kufika majuu sio rahisi kujua ni kitu gani tunakikosa hapa Dar.

  Tafadhali mtoa mada weka wazi!!!

  Tiba
   
 9. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Papa Mopao kwani wewe 'entertainment' unai define vipi? Mimi binafsi naamini 'entertainment' ni kitu ambacho ni personal, it is in one's mind. Unachokiita 'entertainment' wewe kwangu mimi kinaweza kuwa kero. So in general you are not being fair ukisema Dar hakuna entertainment, labda utuambie unajisemea wewe binafsi.

  Mimi niko majuu miaka mingi lakini nikuambie, there's no place like home, the minute nikitia mguu tu pale JK airport- 'entertainments' zangu zinaanza. Talk about being reunited with my beloved relatives and old good friends, mademu wa kumwaga wazuriiii! Kakilimanjaro ka bariiiidi, kitimoto mbuzi choma! Ugali matembele na dagaa wa mbilimbi kwa pembeni, jioni naenda zangu Ngwasuma, Msondo Ilala au kwa wazee wa masauti.........Hiyo ni siku moja tu, bado kesho yake na keshokutwa! Weee acha bwana, usipime kabisa!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,441
  Likes Received: 81,486
  Trophy Points: 280
  Hmmmmm! Wabongo kwa nanino!
   
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Sio lazima uiguse, wakati mwingine unaingia kiwanja unaagiza kanywaji kako bariidi unakaa angle unatakasa macho tu ukirudi home umaliza uzushi bafuni- entertainment ya kutosha, priceless!
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Teh teh hapo umenena sheikh
   
 13. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huyu anasubiri uraia wa nchi mbili uruhusiwe atimke moja kwa moja!

  alafu anasema eti bongo kuna pombe tu na vidosho, sasa kuna starehe nyingine zaidi ya hizo??????????????

  tuweni wakweli wajameni
   
Loading...