Dar: Coco beach pub inawaka moto

Dar: Coco beach pub inawaka moto

nkotopaje

New Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Coco beach pub inaungua......

Jengo la makuti la Coco Beach jijini Dar es Salaam linateketea kwa moto mchana huu Septemba 22, 2019.

Wakati huo huo, Gari la Zimamoto likiwa limepata ajali likielekea kuzima moto uliozuka mchana wa leo kwenye moja ya Bar iliopo Cocobeach, kwa Mujibu wa Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Kinondoni, Jenipher Shirima amesema kuwa katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa dereva amejeruhiwa
IMG_20190922_195837.jpg
IMG_20190922_195830.jpg

 
Upumbavu wa hii sheria ya kutokurusha picha za majanga ndio huu.

Yani habari zote zinakuwa za kipashkuna
 
Back
Top Bottom