Dar: Coco beach pub inawaka moto

Dar: Coco beach pub inawaka moto

Wauza mihogo wamesalimika?
Wauza mihogo wangapi wamehusishwa na tukio?
 
Aisee hebu acha masikharaa...
yaani ni sawa na ufe wewe halaf update za kuzimu utuulize sisi....
Tumbo linakuuma/linanguruma halaf unamuuliza Dr. Vipi update huko tumbonii?
Sure mkuu,jamaa sijui anauliza au anatoa taarifa
 
Moto mkubwa unaunguza bar maarufu ya Coco Beach iliyopo kwny ufukwe wa Coco Oysterbay Dar
0d5fc20c-34a2-4607-84ec-7fb3f3814c52.jpg
54beb128-44da-489e-8aae-f00b4f274c5a.jpg
 
duuhh... cpati picha unavokolea chap kwa upepo wa bahariii....
istoshe faya wasitafute sababu maji tele hayo apo ni cha kuyapump na kuzima kabla haujaleta madhara zaid
 
ha ha kuna mambo hauhitaji kua mbobezi kujua chanza cha moto, maana jamaa wanajiandaa kuboresha ufukwe tena kwa fedha za ndani
 
Sasa kaambiwa ahame watu wafanye kubinafsisha na kuboresha hiyo beach yeye hataki, unategemea nn?. Ila hata hivyo makampuni ya Insurance yana kazi kubwa sana, hapo watakuja wachunguzi wa fire watadakishwa milioni 2 basi wanakausha, mtu anaenda kulamba milioni 500, Insurance fraud zimezidi siku hizi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yale Yale ya kufa na kiu baharini ni uzembe
duuhh... cpati picha unavokolea chap kwa upepo wa bahariii....
istoshe faya wasitafute sababu maji tele hayo apo ni cha kuyapump na kuzima kabla haujaleta madhara zaid
 
Eneo la starehe (Pub) lililoko kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam, limetekea kwa moto huku chanzo cha moto, kikiwa bado hakijajulikana.
Eneo hilo ambalo lipo Msasani jijini Dar es salaam linatajwa kuanza kuungua kwa moto, majira ya saa 7 mchana, ambapo kwa mujibu wa Meneja Pub hiyo, Davis Urasa mpaka sasa bado hawajatambua hasara kiasi gani iliyotokea.
 
Back
Top Bottom