Kama ni haki yao sioni tatizoInsurance inatafutwa hapo.. Deal kubwa hiloooooooooo, wajinga ndio waliwao, hapo sababu wanatakiwa kuvunjwa ujenzi ufanyike, watakuwa wamechoma makusudi ili Insurance ilipe billions kisha wanasepa.. Hii michezo ipo sana, kuanzia kule Bagamoyo ilivyoungua ni michezo hii tu.. Insurance italipa billions, chomeni hoteli zenu za makuti na nyie mlio na insurance coverage. [emoji848][emoji35]
Andika pore pore basi mkuu uereweke
Eneo la starehe (Pub) lililoko kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam, limetekea kwa moto huku chanzo cha moto, kikiwa bado hakijajulikana.
Eneo hilo ambalo lipo Msasani jijini Dar es salaam linatajwa kuanza kuungua kwa moto, majira ya saa 7 mchana, ambapo kwa mujibu wa Meneja Pub hiyo, Davis Urasa mpaka sasa bado hawajatambua hasara kiasi gani iliyotokea.
Ni polepole basi mkuu ueleweke sio porepore basi mkuu uereweke napendekeza umuone faiza fox kwa maoni zaidiAndika pore pore basi mkuu uereweke
Kama ni haki yao sioni tatizo
Kuchoma makusudi, unajua uhuni unaofanywa kisiri sana na watu wa insurance ww? Behind the scene hujui nyamaza, hapo ni deal lishachezwa. Unajua maana ya haki za insurance unafikiri ukichoma makusudi unalipwa tu?
Wanawezaje jua ni makusudi?
Mura umeriona rinaandika pore pore hariereweki.Andika pore pore basi mkuu uereweke
Dah..kufa kwa nyani. Vipi kwenye gari hakujatokea madhara kwa binadamu?Gari lenyewe limeanguka likiwa njiani kuelekea kwenye tukio(ile sheria ya kurusha picha sijui kama itaniacha salama) View attachment 1213674
ITV wameonesha picha habari kwa ufupi saa moja jioni.Tutaamini Vp bila picha
Inakuwaje ngumu kujua kama kuna kushikana mikono? Hiyo michezo hadi umeiandika hapa maana yake inajulikana. Ni ukosefu wa uadilifu na weledi kazini. Hizo ni deal kama kibaka tu anapoamua kukwapua.Ngumu kujua, ndio nikasema deal linachezwa mapema behind the scene, then watu wa insurance na owners wa matukio hayo ya kuunguza gari au jengo au hotel za makuti wanaongea mapemaaa, kisha moto unatokeaa paaaaap, kisha malipo lazima walipwe.. Sbb kujua ni makusudi ni ngumu sana.. But jua hilo ni deal kubwaaa, jiongezee
Inakuwaje ngumu kujua kama kuna kushikana mikono? Hiyo michezo hadi umeiandika hapa maana yake inajulikana. Ni ukosefu wa uadilifu na weledi kazini. Hizo ni deal kama kibaka tu anapoamua kukwapua.
Kuna fire marshal wako trained kujua chanzo cha moto katika matukio mbali mbali.