Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,008
- 8,390
Kijiwe maarufu cha starehe kiitwacho Kitambaa Cheupe kilichopo Tabata Barakuda Jijini Dar es salaam kimeteketea kwa moto uliozuka mchana huu ambapo Jeshi la Zimamoto bado lipo eneo la tukio kuendelea kuzima moto huo ambao pia umezifikia hadi nguzo za umeme.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto ameahidi kuongea na #AyoTV muda mfupi ujao kutoa taarifa kamili kuhusu chanzo cha moto huo na taarifa nyingine muhimu kuhusu tukio zima, endelea kufuatilia kurasa za millardayo. #MillardAyoUPDATES