Dar coach hapa tuwape pongezi jamani



Kwenye finishing bado kidogo, hebu tazama nyuma ya bus kwenye makutano ya kioo kwa chini na bodi, painting quality haijakidhi viwango
 
Kiuhalisia hawajaunda bali wameunganisha (assembling) siku hizi kila kitu kiko Internet... Ukishakuwa na engine na chassis.. Kinachofuatia unachagua shape ya body unayotaka... Baada ya hapo unachounda ni body frame tuu... Vingine vyote vinavyofuatia unafunga na kupachika.. Vilishatengenezwa... Siku hizi hakuna ubunifu tena
 
Hao wenye hizo Kampuni sidhani km ni Citizens wa Afrika.
 
SAIBABA wabadilishe magari yao mabovu sana ukitoka dar saa 3 asubuhi unafika moshi saa 6 usiku...... waambieni wawache uduwanzi. USITUWEKEE HABARI ZA AJABU HAPA NENDA KAZUNGUMZE NA WATU WA SAIBABA WAACHE UDUWANZI.
 
SAIBABA wabadilishe magari yao mabovu sana ukitoka dar saa 3 asubuhi unafika moshi saa 6 usiku...... waambieni wawache uduwanzi. USITUWEKEE HABARI ZA AJABU HAPA NENDA KAZUNGUMZE NA WATU WA SAIBABA WAACHE UDUWANZI.
Haaahaaa
Hawa jamaa mabasi yao ni maalumu kwa ajili ya wananchi wachelewaji. Ukiwa na uharaka bora upande Machame, Ngorika au Kidia
 
mwanzo wa safari ni hatua. bilashaka watazingatia huu ushauri. kikubwa tuwajenge kiimani kuwa wameweza.
 
Au ni mimi ndo sielewi? Mbona toka kitambo sana bus nyingi zenye engine na chassis za scania body zake zilikuwa zinaundwa na Dar coach? Nilichokuwa nakifahamu ni kuwa mmiliki wa kampuni let's say Arusha Express au Hai Express au whatever Express anaagiza chasis, engine na other accessories, then vikishafika kunakuwa na assemblers na kwa hapa TZ famous zaidi walikuwa ni Dar coach. Chunguza tu hata gari za Dar Express
 
mkuu umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…