Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,684
- 32,993
Bila kupoteza muda, nimepita kwenye page ya Dar coach (kampuni ya kitanzania ya kuunda bodi za mabasi) aise hawa jamaa wameunda bodi kali sana waliyoiita "tanzanite" ikiwa imevaa chasis ya scania.
Ushauri wekeni bei nzuri hili mlete upinzani kwa basi za kichina zinazozidi kuota mizizi nchini.
Pia jitahidini kufanya marketing kuwashawishi matajiri kama kina shabiby, zuberi, dar lux, sauli, dar express, klm, abood, bm, etc wanunue basi zenu....hao watasaidia kuleta chachu kwenye ushindani.
Tujivunie vya nyumbani....
Source ya picha-dar coach page, tbbView attachment 1150123View attachment 1150124View attachment 1150126View attachment 1150127View attachment 1150128View attachment 1150129View attachment 1150130
Sent from my SM-J727P using JamiiForums mobile app
Kwenye finishing bado kidogo, hebu tazama nyuma ya bus kwenye makutano ya kioo kwa chini na bodi, painting quality haijakidhi viwango