Usiogope mahakama nimuhimili.usijisahau ndomana walikataa kutoa kibali lisu akakamatwe ubeligiji,walijua serikali imechanganyikiwa haijielewi,dunia zima inajua anaumwa serikali haijui(kumbuka tunamihimili 3,(1)executive/dola(2)Parliament/bunge (bonge),(3)Judiciary/mahakama....,,,,,,sasa pamoja nakua nahiyo mihimili mitatu nimekupa hapo,nimuhimili mmoja tu unaojua lisu mgonjwa ...huko nikuchanganyikiwa ,mahakama hawawezi kumuazibu kwakauli hiyo kizimbaniMi naongelea huo mkwara alioupiga kuwa ataishangaza mahakama.
Mtu aliyewahi kuua anakua hana akili nzuri.Atakuja kuishangaza mahakama.
Hahahah na yenyewe itamshangaza itakachomfanya
Yeye anadai hapohapo mahakamani anaweza 'kuwafanyizia' hao wanaomfotoa hadi mahakama isiteajabu!Sasa ana uhakika gani kama atashinda kesi ya mauwaji ili aje apambane na wanahabari huku uraiani...nahisi atakuwa na mental-disorder
Waandishi, au unawauliza watu gani?Hana cha kupoteza. Kuna siku atawavulia nguo zote. Bado mtampiga picha?
huyo anaweza kunyakua hata AK 47 kuwa nae makini sana,Anataka kujifanya yy ni Lori la mafuta! Kajizira huyo hana cha kupoteza ni kuwa makini nae kama makinikia
Kabisa ubinadamu ushamtoka! Damu ya mtu ni nomahuyo anaweza kunyakua hata AK 47 kuwa nae makini sana,
ana frustration