Damu ya mtu hunuka

Iwanukie sana tu mpaka wajitaje enyewe kuomba utakaso, tena damu ya mttezi wa wanyonge, haahaaaaa, inanuka haswa.
 
Ila mshana junior mi nakushangaa sana, m nakuona mtu makin sana , kwaΓ±n usijitokeze hadharan umati kukajua kwa uchambuzi wako huu mzuri,? M nadhani huu umaarufu mkubwa ulionao ndani ya hili jamvi , siku ukianza kujiweka hadharan taifa likakujua kama tunavokujua sisi huku ndani,,,, haki ya mungu utakua zaidi ya EDO KUMWEMBE
 
Asante Mzunde ila JF inatosha

Jr
 
Mkuu,
Umenikumbusha Kitabu kiitwacho "Bado Mmoja" kikiwa na mauaji mfululizo na kila ilipokutwa maiti ya mtu pembeni yake kulikuwa na karatasi yenye tangazo "bado mmoja"
Mauaji hayo yalikuwa yakifanywa na MTU aitwaye "Marcus Sayuki"
 
Mkuu,
Umenikumbusha Kitabu kiitwacho "Bado Mmoja" kikiwa na mauaji mfululizo na kila ilipokutwa maiti ya mtu pembeni yake kulikuwa na karatasi yenye tangazo "bado mmoja"
Mauaji hayo yalikuwa yakifanywa na MTU aitwaye "Marcus Sayuki"
Nakumbuka kukisoma hiki kitabu
 
Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sana
Kuna mmoja alikuwa akiua makahaba kwenye guest house hasa Keko. Sijui aliishia wapi
 
Kuna movie inaitwa SIMON SAYS jamaa anauwa sana humu ndani.Kisa kilianza anacheza na pacha mwenziwe porini akakasirika akampiga akamuuwa.Kurudi home kajaa damu wazazi kumuuliza nao kawauwa akiwa mdogo tu.Basi tangia hapo ye ni kuuwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…