papakitope
Member
- Oct 31, 2016
- 17
- 3
We je unapimaj real love kutoka kwa mpenzi wko
#Don't_destroy_de_fun
Mbna unajitabiria maajali mkuuKipimo changu ni uaminifu wake katika shida na raha.
Kwa mfano, tumekutana wote tukiwa wazima na timilifu wa viungo vyote vya mwili.
Kwa bahati mbaya ikatokea napata ajali ambayo inapelekea mimi kukatwa moja ya kiungo, mkono au mguu.
Baada ya hapo, akiendelea kunipenda kwa dhati kabisa kama alivyonipenda hapo awali kabla ya ajali na pia akaendelea kuwa mwaminifu kwangu [kwa asilimia 100], hayo ndo mapenzi ya kweli.
Mbna unajitabiria maajali mkuu
Wengi hushidwa kwenye shida na misukomisuko, hicho ndicho kipimo halisi.
kuvumiliana kwenye shida na raha!
Mkuu hapa umemalizaKipimo changu ni uaminifu wake katika shida na raha.