Dalili za ushoga....

Dalili za ushoga....

Dalili za ushoga ni nyingi
mno km
1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......


Ni ipi kati ya hizi uko nayo?


Hebu fafanua kidogo hapo, mkuu
 
Hebu fafanua kidogo hapo, mkuu
Naomba Kaunga anisaidie kufafanua, niliwahi msikia akisema
kuwa kuna kipindi ex wake alikuwa akikaa sana kwenye dressing table
na kujipodoa, Kaunga akadhani ni middle age crisisi....
mimi sidhani kama ni m.a.c naona itakua ni dalili ya....
 
Last edited by a moderator:
Naomba Kaunga anisaidie kufafanua, niliwahi msikia akisema
kuwa kuna kipindi ex wake alikuwa akikaa sana kwenye dressing table
na kujipodoa, Kaunga akadhani ni middle age crisisi....
mimi sidhani kama ni m.a.c naona itakua ni dalili ya....

Ayi Boflo in as much as ningependa kumsema vibaya mtu aliyeni abuse physically lakini siwezi msemea uongo. Ni kweli alikuwa anajipenda sana, huenda vya kuzidi lakini sidhani kama alishawahi kupumuliwa. Tena hata nywele zake nilianza kuzitreat kwani ana kipilipili kile kigumu ambacho kilimsababishia awe ananyoa nywele zote, so nikaanza kuzilainisha na Duke wave na honestly akawa anapendeza sana tu na ni kweli tulikuwa tunagombea kioo na lipshine alikuwa anapaka but apart from kujipenda he was too much of a straight man.
 
Last edited by a moderator:
Dalili za ushoga ni nyingi
mno km
1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......


Ni ipi kati ya hizi uko nayo?
Wanasema experience inasaidia sana kuelezea mambo kwa ufasaha..
 
Se.nge utalijuwa tu halijifichi, hata liwe bouncer:

 
dalili nyingine ni ile ya kujifanya kutokujua kuongea kizawa ( kiswahili) mwanzo mwisho wakati wa maongezi,, yaani mpaka wachanganyie na kivatican (english) kidogo......
 
Dalili za ushoga ni nyingi
mno km
1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......


Ni ipi kati ya hizi uko nayo?

Mbona huwa unapenda sana kuongelea mambo ya mashoga!!?
 
Back
Top Bottom