Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Nipo best...hujambo lakini?
Sijambo, nimekumiss sana! Mzima weye?
Nipo best...hujambo lakini?
Nipo best...hujambo lakini?
Sijambo, nimekumiss sana! Mzima weye?
Afu Bishanga unajua unanifatafata sana.
Au unataka kujiunga na SACCOS yangu.
Muombe ruhusa my Sweetlilo Ben Saanane ili akukubalie.
Nimekusikia,we endelea uone!E bana na mie nakumiss kwa sana aisee, huyo Bishanga umzoee tu, ana stress, si unajua FINCA wamepiga mnada nyumba zake mbili amebakiwa na ile moja kule Makoka, afu niko pande za kwenu Kino clan kama upo karibu we "nidip"