Ujue na wewe ni kikicheche (samahani lakini, haya maneno machafu kanifundisha Kaizer)
Me miss you sana mpaka hata sijielewi..njoo bana
Me miss you sana mpaka hata sijielewi..njoo bana
Me naumwaaa si mzima kabisaUsijali bibie naja sasa hivi.
Vip mzima lakini?
Na je? Ukikuta bin-adamu anajiita jina la mnyama? Afu potelea mbali basi angejiita kwa majina ya ma-giant animal ! Hataki anajiita kwa majina ya vimnyama smol-smol !
Kuna nini hapo?
Baba V kanipiga zongo hata cc naiona ina maandishi ya kichina siku iziWe inakusu nini?
Umbea tu ndio maana ummu kulthum alitaka kukupindua uenyekiti
Afuummu kulthum nimekumiss sana aisee, vipi "twiga" wako hajambo, au nae kapandishwa ndege kapelekwa Arabuni??