Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
- Thread starter
- #41
#kuna_ukweli_kwa_100 %kuna ukweli kwa mbaliiii
#kuna_ukweli_kwa_100 %kuna ukweli kwa mbaliiii
Hahahahaaa eti anaweka oda...si kama wewe unavyoweka oda ya papuchi lol
Mmh,,walewale akina wife material, hiv ujui kama ucpouchambu mchele unakula chuyaaaa.Sim ya mkononi sio kitu cha kushirikiana, ndio mana line inasajiliwa kwa jina la mtu mmoja, kama mnataka kuchunguzana kwenye sim basi nunua sim za TTCL za mezan, mambo ya kupekuana pekuana hayana maana kabisa.
Sometimes ukiwa unachat nae kwa sms anakawia kujibu coz anachat na wengi,Umesahau hii "anapenda kuchart ila ukifungua inbox ya simu yake unakuta empty "
Mmh,,walewale akina wife material, hiv ujui kama ucpouchambu mchele unakula chuyaaaa.
Hata sent items pia hukuti kitu!
sasa jamani memory card imejaa
mbona hujamalizia kuwa huwa anaweka order ya pesa badala ya kuomba kwa heshima?mf,nataka jumapili kwenda salon,nahitaji elf 50
hii ndo kali zaid aseeUmesahau hii "anapenda kuchart ila ukifungua inbox ya simu yake unakuta empty "
Mh!mi simu yangu hata akitaka akae nayo wiki sina mawazo kabisa,kwangu simu siwezi kumkataza asipekueUgomvi mwingi siku hizi ndani ya mahusiano chanzo chake ni sim, mtu kama unahisi kuna mapungufu kwa mwenzio kaa chini muulize. hata hivyo kukaa kuchunguzana chunguzana ni ishara ya kutojiaminii. "ukimchunguza sana bata njia zake huwezi mla"
Haaah......wengine semeni tu mmeshindwa kazi sasa maana dosari zingine hazina hata mashiko!!!