Dalili za kwamba mwanamke hakufai

Dalili za kwamba mwanamke hakufai

Mambo kuhusu familia mliyoongea chumbani,unayasikia kwa jirani zako!!

mashauzi kimtindo yanangarisha siku....habby kasema january tutanunua noah hii vitz ndogo sana...tusipojitangaza nani atutangaze....lolz
 
Kazi kusema wanawake tu,je na wanaume wanaonaenda kuoga na sim kwenye bukta!na wakati wa usiku yupo busy na cm muda wote ukiuliza anadai anafuatiria mechi!KWA UFUPI HAKUNA MSAFI WOTE TUNA MAPUNGUFU.

yaani we acha tu ........
 
1. Hutumia muda mwingi kujiremba kujipaka vipodozi.
2. Ni mzito sana katika shughuli za kujishughulisha au hata kujifanyia usafi hata nyumba aishiyo.
3. Hupenda kulala mchana huku akiwa mkali katika kutoa maelekezo kwa housegirl wake.
4. Huwa katika Facebook na mitandao mingine kwa muda mrefu.
5. Hupenda mambo ya hali ya juu yamfikie kimiujiza bila kujishughulisha.
6. Simu yake kuigusa ni lazima pachimbike japo ni mkeo.

WADAU TWAWEZA ZIENDELEZA ZAIDI.

mbona hujamalizia kuwa huwa anaweka order ya pesa badala ya kuomba kwa heshima?mf,nataka jumapili kwenda salon,nahitaji elf 50
 
hivi nyie pesa mnatafuta saa ngapi kila wakati mna vijiwe vya kuwachambua wanawake!??? na kwa hali hii bado mtasema sn
 
Anapenda sana kuangalia bongo movie

anapenda sana kununa nuna hata kwa mambo madogo

kamaanaongea sana kama chereani
 
Hahahaaaaa, jamani baada ya kuwa ukubwa ni jalala naona sasa mwanamke ni jalala, yani hata kuguna tu nako duh ni sheeeeeeder.
 
Baada ya ndoa mnakuwa mwili mmoja hakuna kusema..hiki changu wala chako..ni chetu
 
1. Hutumia muda mwingi kujiremba kujipaka vipodozi.
2. Ni mzito sana katika shughuli za kujishughulisha au hata kujifanyia usafi hata nyumba aishiyo.
3. Hupenda kulala mchana huku akiwa mkali katika kutoa maelekezo kwa housegirl wake.
4. Huwa katika Facebook na mitandao mingine kwa muda mrefu.
5. Hupenda mambo ya hali ya juu yamfikie kimiujiza bila kujishughulisha.
6. Simu yake kuigusa ni lazima pachimbike japo ni mkeo.

WADAU TWAWEZA ZIENDELEZA ZAIDI.

kuna ukweli kwa mbaliiii
 
Kazi kusema wanawake tu,je na wanaume wanaonaenda kuoga na sim kwenye bukta!na wakati wa usiku yupo busy na cm muda wote ukiuliza anadai anafuatiria mechi!KWA UFUPI HAKUNA MSAFI WOTE TUNA MAPUNGUFU.

chezea life score ww..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom