Dalili za kwamba mwanamke hakufai

Dalili za kwamba mwanamke hakufai

Kazi kusema wanawake tu,je na wanaume wanaonaenda kuoga na sim kwenye bukta!na wakati wa usiku yupo busy na cm muda wote ukiuliza anadai anafuatiria mechi!KWA UFUPI HAKUNA MSAFI WOTE TUNA MAPUNGUFU.

hahahahahaaaaa,,,,umenikumbusha mambo niliyokuwa nafikiri nimeyasahu. jamaa kavaa suruali ya michezo haina mifuko. ili ifiti unavuta kamba unazikaza. sasa hana mpango wa kutoka nyumbani ila simu hataki kuiacha popote. kwa hiyo baada ya kuvuta zile kamba za kubana suruali akachukua simu akaiviringisha kamba iliyobaki inaning'inia. akaona inamsumbua inavyoning'inia ile simu kwa hiyo akavuta ile suruali juu kisha akaikunja kiuoni akafutika huko ile simu. kichekesho ni saa simu illita. kwanza ni ile jinsi alivyoruka kwa mshtuko maana hajazoea simu kutetemeka maeneo ya chini ya kitovu alikokuwa ameifutika, pili ni ule mchakato wa kukunjua kiuno cha suruali kisha kuanza kufungua simu toka kwenye kamba bila kusahau mwendo aliotoka nao kwenda kuipokelea nje. lah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom