Dalili za kutunga kitabu

KABILIZI

Member
Apr 14, 2014
29
20
Wana jf na andika uzi huu nikiwa namachungu na wizara ya ajira tanzania maana nimezunguka sana na utafutaji wa ajira mpaka kila kona wanapotolea kopy za vyeti washanikalili niki ingia hata kununua kitu utasikia unatoa na copy au unataka copy za vyeti nimechoka na nina juta kusoma kilimo na sasa najipanga kutunga kitabu baada ya purukushani nilizo kutana nazo kutoka kwa waajiri wa nchi hii.
kama kuna aliyeguswa na maandalizi ya kitabu hiki ajaribu kunitupia maoni nianze kitabu hiki.
 

KICHWA BOGA

Member
Apr 27, 2014
51
70
Pole Mkuu, But Naona Una Bahati Kubwa Kusomea Kilimo, Kuna Fursa Nyingi Sana... Jiajiri Ndugu Na Ukifanya Vizuri Ajira Zitakutafuta Tu. Kitabu Chako Unataka Kihusiane Na Issue Gani?
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,127
2,000
Vikwazo na propaganda wakati wa kutafuta ajira

Pole sana mkubwa,

Kwa hatua uliyonayo sasa hivi ukiandika hichokitabu hakitakua na mchango wa maana sana kwa sababu kitaelezea kwa ufasaha na ufanisi sana upande wa vikwazo na matatizo ya kutafuta kazi lakini kwa bahati mbaya hakitakua na maelezo ya nini kifanyike au utatuzi wa hilo tatizo kwa sababu huo uzoefu hauna bado.

Kama umesomea kilimo, mbona una bahati mkuu, jaribu kuona kwamba una fursa na badili unavyowaza kuhusu namna ya kujikwamua kimaisha. Unajua sio kila mtu lazima afanye kazi ofisini, wengine wapo huko lakini wanatamani wafanye kilimo au biashara.
 

KICHWA BOGA

Member
Apr 27, 2014
51
70
Pole sana mkubwa,

Kwa hatua uliyonayo sasa hivi ukiandika hichokitabu hakitakua na mchango wa maana sana kwa sababu kitaelezea kwa ufasaha na ufanisi sana upande wa vikwazo na matatizo ya kutafuta kazi lakini kwa bahati mbaya hakitakua na maelezo ya nini kifanyike au utatuzi wa hilo tatizo kwa sababu huo uzoefu hauna bado.

Kama umesomea kilimo, mbona una bahati mkuu, jaribu kuona kwamba una fursa na badili unavyowaza kuhusu namna ya kujikwamua kimaisha. Unajua sio kila mtu lazima afanye kazi ofisini, wengine wapo huko lakini wanatamani wafanye kilimo au biashara.

Kweli Kabisa, Nashauri Uandike Kitabu Cha Kilimo Na Ikiwezekana Anzisha Bustani Na Uifanye Shamba Darasa, Then Wape Elimu Wakulima Juu Ya Kilimo Bora. Utatoka.

Ajira Ni Neno Mbadala Wa Utumwa!
 

Mtumwa baniani

Senior Member
Apr 13, 2013
128
225
Wana jf na andika uzi huu
nikiwa namachungu na wizara ya ajira tanzania maana nimezunguka sana na
utafutaji wa ajira mpaka kila kona wanapotolea kopy za vyeti
washanikalili niki ingia hata kununua kitu utasikia unatoa na copy au
unataka copy za vyeti nimechoka na nina juta kusoma kilimo na sasa
najipanga kutunga kitabu baada ya purukushani nilizo kutana nazo kutoka
kwa waajiri wa nchi hii.
kama kuna aliyeguswa na maandalizi ya kitabu hiki ajaribu kunitupia
maoni nianze kitabu hiki.

Ukitaka kuandika kitabu Nitafute, nitakusaidia kwa kila hatua kuanzia kuunda wazo(Idea), kuandika, kudesign kitabu na kuchapisha.
 

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Nov 21, 2013
117
225
Kweli Kabisa, Nashauri Uandike Kitabu Cha Kilimo Na Ikiwezekana Anzisha Bustani Na Uifanye Shamba Darasa, Then Wape Elimu Wakulima Juu Ya Kilimo Bora. Utatoka.

Ajira Ni Neno Mbadala Wa Utumwa!

Kwa ushauri wa jinsi ya kuandika kitabu na mambo yahusuyo vitabu nitafute.
 

aloycious

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
5,825
2,000
Andika professional papers,,kama tafiti,journals ili upige pesa. Mimi nimeandika journal ya food security,pia nina papers nyingi za miradi ya kilimo na ufugaji. Mmoja nimepata mfadhili nitakutekeleza mwakani (mult-million project)! Achana na huo ujinga wa kuandika hadithi. Nitafute ukitaka tufanye kazi.
 

served

Senior Member
Nov 6, 2013
161
225
aloycious nahitaji sana kufanya hicho kitu lakini sijui pa kuanzia atleast nimempata mtu kama wewe ntakupataje? me nipo dar.
 

franswamj

Member
May 23, 2014
96
70
Pole sana kk, bt wote wanaoandika kitabu wana kitu cha kusimulia yaani kuanzi hatua ndogo hadi hatua ya mafanikio, sasa ww hata experince ujapata hw come uwe mfano kwa jamii, soma vitabu vya waandishi mashuhuri....ben karsol, coop meyer, nk
 

hewa

Member
Oct 27, 2012
35
70
Mimi nadhani bwana mkubwa unawazo lenye mantiki sana, halafu hebu watu sasa watambue kwamba uandishi upo wa aina nyingi na tofautitofauti, kulingana na kiwango cha uelewa na ujuzi katika fani unayotaka kuiandikia, kwa hiyo sasa mtu asije akakukatisha tamaa eti hujafikia kiwango cha kuandika kitabu, maana katika uandishi kinachohitajika ni pesa kwa ajili ya mchakato mzima pamoja na utafiti wa kina kwa kile unachotaka kukiandikia pamoja na uhakika wa kupata machapisho mbalimbali kwa ajili ya rejea hususan katika kuchunguza mawazo na uelewa wa waandishi tofauti waliotangulia.
 

ERICK YUSTO

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
207
195
sasa nyie mnamwambia ana fursa nyingi na amesoma kozi nzuri wakati hamjui elimu ya bongo ni theory..it prepare someone to become job seeker and not job creator..ndo mana jamaa anawaza kuajiriwa sio kosa lake ni mfumo wa elimu aliosoma ndo umefanya awe ivo.amesoma agriculture theories nyingi kuliko practicals..halafu ishu kubwa ni utayari wa kuajiriwa..yani alishawaza kuajiriwa wakat anasoma kwa hiyo hawez kujiajiri yan yeye anawaza kazi za ofisini..sikatai kilimo kuna kazi za ofisini ila kilimo ni shambani na practical..sasa yeye kamaliza anawaza ofisini that y nasema ttz ni mfumo wa elimu yetu ya kikoloni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
M Mhariri wa kutafsiri kitabu cha kiingereza Jukwaa la Ajira na Tenda 6

Similar Discussions

Top Bottom